Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONGE AINASA BAR INAYOTAPISHA MAJITAKA BARABARANI.

Mapema asubuhi ya leo yule Kamanda mbishi wa kuzibaini Kero na kuzitafutia uatatuzi nchini, Bonge wa kipindi cha Power Break Fast ya Clouds Fm, aliinasa bar ya mwananchi mmoja mfanyabiashara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMIA UJAE NA MAENDELEO YA JIJI LA DAR.

Hii ndiyo hali halisi hivi sasa jijini Dar es salaam.... Na hapa ni eneo la Posta ya zamani ambapo hivi sasa hakuna daladala linaloruhusiwa kuingia eneo la Posta ya zamani hadi Kivukoni, yote ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA MARA YA KWANZA KOMBE LA DUNIA KUIKANYAGA ARDHI YA JIJI LA MWANZA KESHO.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo, akizungumza na mbele ya waandishi wa habari na kamati ya maandalizi juu ya ujio wa Kombe la dunia ambapo jiji la Mwanza limetunikiwa nafasi ya kwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOSE CHAMELEONE ASAINI KUPIGA SHOW MOJA TAKATIFU TAREHE 24 DEC 2013 MKESHA WA...

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Dr. Jose Chameleone akisaini mkataba wa wa kupiga show jijini Mwanza itakayofanyika mnamo tarehe 24/12/2013 mkesha wa kuikaribisha sikukuu ya Christmas kuanzia saa 12...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JK AONGOZA MAPOKEZI YA KOMBE LA DUNIA JIJINI MWANZA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PIKI PIKI ITAKAYOGOMBANIWA NA MABONDIA NASSIBU RAMADHANI NA MOHAMED MATUMLA...

Meneja Masoko wa kampuni ya haojue,Wawa Laida kulia akiwaonesha pikipiki itakayogombaniwa Dar es salaam jana  na mabondia Nassibu Ramadhani kushoto na Mohamed Matumla siku ya Desemba 25  wengine wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABONDIA JAPHET KASEBA, ALIBABA KUZIPIGA DESEMBA 21 FRIENDS CORNER HOTEL DAR.

Mabondia Japhet Kaseba wa jijini Dar es Salaam, na Alibaba Ramadhan wa jijini Arusha, wanategemea kupanda ulingoni siku ya jumamosi ya tarehe 21 Decemba, mwaka huu katika ukumbi wa friends corner...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEMBE LANGU

"Nawatakia jumapili njema wadau wote wa libeneke hili (G Sengo blog). Kuna mengi mazuri yanakuja kwa siku za usoni kupitia hapa, nia na madhumuni ni kuwapa watizamaji, wasomaji fursa zaidi ya kupata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIDUCHU DODOMA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI HAPA PICHA ZA CHEREKO LA HARUSI YA CHARLES SHAMBA NA SHARON STEVEN...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YASABABISHA KIFO CHA MKALI WA FILAMU YA 'THE FAST AND FURIOUS'

Enzi za uai wake Paul Walker  katika filamu ya 'Flags of Fathers' iliyotoka kwama 2006. Paul Walker: 1973 - 2013Muigizaji mahiri aliyewahi kufanya idadi kubwa ya filamu sawia na namba ya umri wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YATANGAZA WASHINDI 23 WA DROO YA KWANZA YA ‘MIMI NI BINGWA

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa droo ya kwanza ya ‘Mimi Ni Bingwa’ iliyowapata washindi 23 ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZINDUA AZANIA BANK TAWI LA LAMADI MKOA WA SIMIYU.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka jiwe la msingi la Benki ya Azania Tawi la Lamadi huku akishuhudiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Azania Bwana William Erio (wa pili kushoto)....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIYO CLOUDS 14.

Clouds Fm ikiwa inatimiza miaka 14 katika game, G.Sengo Blog inakupa 'fursa' kuwatambua  Vijana wa kazi mjengoni na kwa leo wacha tuanzie hapa pichani ni Producer wa Jahazi Elikuda (Left) na Producer...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKATILI WA BABA WAKWAMISHA NDOTO ZA MSICHANA JULIANA.

Msichana Juliana  akiwa nyumbani  kwake  akiandaa  chakula  kwa ajili  ya wateja  wake Na. Revocatus Herman Tumeshuhudia   jamii   ikikumbwa  na ukatili  wa  kijinsia   hasa kwenye  vipigo, lakini  kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAWADI ZA BALIMI MBIO ZA MITUMBWI ZAWEKWA HADHARANI.

Meneja Mauzo na Usambazaji wa TBL, Kanda ya Ziwa , Malaki Sitaki(kulia) akimkabidhi kikombe Mwenyekiti wa Chama cha mbio za Mitumbwi Taifa, Richard Mgabo ikiwa ni zawadi ya mshindi wa kwanza wanaume...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKATILI BADO UNAENDELEA KUITAFUNA JAMII YETU

Na Neema  JosephMwanza Baadhi  ya watoto  yatima  jijini Mwanza wameangukia  katika  janga  la  unyanyasaji wa kijinsia  bila  jamii  kujua   vitendo  vinavyoendelea  katika maeneo  ya  watoto  hao  wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIWANGO CHA UTOAJI PESA CHAONGEZEKA HADI KUFIKIA MILIONI 3 KWA SIKU BURE...

Meneja huduma ya Airtel Money Asupya Nalingigwa akiongelea ongezeko la kiwango cha kutoa pesa mpaka mil. 3 kwa siku kupitia huduma ya Airtel Money wakati kampeni ya kutuma na kutoa pesa BURE ya hakatwi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBINU YA MUUZA MAGAZETI NI 'CHIBOKO'

Kwa wale wanao 'peruzi na kudadisi' kisha wanasepa bila kununua magazeti hapa wamekomeshwaje...!?Kabla ya mbinu hii, ilikuwa desturi ya wakazi wa eneo la Lamadi mkoani Simiyu kufika kwenye kiota hiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA NA PALE VIJIJINI.

Hapa na pale na utalii wa ndani kwa vijiji vyetu.Huduma ya usafiri wa gari la mwisho (mpaka kesho tena) katika eneo la kijiji cha Mugango kilichopo  Butiama mkoani Mara. Maji toka bomba la kijiji cha...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>