Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

CHUO CHA CBE CHASHIRIKISHA WADAU WA BIASHARA ILI KUFANIKISHA UJENZI WA CAMPUS YAKE MPYA KISEKE JIJINI MWANZA

$
0
0
Mkurugenzi wa Chuo cha Biashara CBE Campus ya Mwanza Bw. Eustace Joel Mukayu akizungungumza na waandishi wa habari toka vyombo mbalimbali mara baada ya uwasilishaji. 
Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Mwanza Bw. Martin Rajab akitoa mapendekezo kwa wadau wa biashara waliohudhuria.




Bi. Fatuma Matope ambaye ni mwakilishi wa Rais wa Chuo Cha CBE akitoa mchango wake mbele ya wadau wa Biashara ambao hapa walikaa kwa makundi na kuainisha mawazo yao.



Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Mwanza Bw. Martin Rajab akizungumza na waandishi wa habari toka vyombo mbalimbali jinsi Benki yake itakavyoshiriki kufanikisha ujenzi wa campus mpya ya CBE inayotarajiwa kujengwa Kiseke wilayani Ilemela mkoani Mwanza.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>