Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12426

PUYANGA PUYANGA ZA SOKONI AREA MWANZA

$
0
0
Vyuku wauzwao...

Wachunaji na area yao. 

Kazi za mchangani za Mbuyu Twite....? 

Vitu vya Green... 

Mboga mboga hata kwa wageni....

Taka zilizojikita nyuma ya soko zinasababisha wafanyabiashara wapangao bidhaa chini kwenye matandiko sokoni hapa kushindwa kufanya shughuli zao kwa uhuru zaidi.

Taka zimeziba njia ambayo vile vile ilikuwa ikitumika kwa biashara ikiacha nafasi finyu kwa wajasilia mali, hali inayosababisha wafanye biashara wakibanana huku wakihofia afya zao.

Hayo yanatukia kipindi wananchi nao wanajibidiisha kushiriki zoezi la kusafisha mji kila wiki ya mwisho ya mwezi lililo asisiwa na Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia Meya wake Stanslaus Mabula..


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12426

Trending Articles