Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12435

BRAND NEW NACCRI MC - NIONGEZE TENA NYINGINE

$
0
0
Huyu ni Naccri MC kijana aliyekulia Arusha na kukuzwa kipaji chake ndani ya Tamaduni Music, hii ni singo ya kwanza toka kwenye project yake ambayo anatarajia kuiachia mwishoni mwa mwezi novemba, santuri hiyo itakua na mikwaju 10, na huu hapa ni wa kwanza unaokwenda kwa jina "Niongeze Tena Nyingine" ukiwa umetengenezewa pande za Grandmaster Records na M Lab, msimamizi akiwa John Blass
Sikiliza/Downoad Link:  https://soundcloud.com/john-b-jae-grandmaster/niongeze-tena-nyingine-naccri 


John Blass Mallya
For, 
    Grandmaster Records, Kaz Studio, Cannibal Shattah & Makini Music

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12435


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>