Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12428

SPORTS LADY ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA SASA KWENDA SEKONDARI

$
0
0

SPORTS LADY ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA.
Zainabu Ikota Mhamila akipokea zawadi kutoka kwa dada yake Sada Swedy wakati wa mahafari ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto dar es salaam katikati ni shangazi yake Azania Athumani Mtopa na baba yake Rajabu Mhamila ;super d

Asha Kamnyanga 'mama Ikota' kushoto akimpatias zawadi bint yake Zainabu Mhamila ' Ikota' wakati wa mahafari ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam katikasti ni shangazi yake Azania Athumani Mtopa

Asha Kamnyanga 'mama Ikota' kushoto akimpatias zawadi bint yake Zainabu Mhamila ' Ikota' wakati wa mahafari ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam katikasti ni shangazi yake Azania Athumani Mtopa
Zainabu Mhamila 'Ikota' akimlisha keki Mama yake Asha Kamnyanga 'Mama Ikota' wakati wa Mahafali ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam anaeshudia katikati ni dada yake Sada Swedy.
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na bint yake Zainabu Mhamila 'Ikota' wakati wa mahafali ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam.
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila wa pili kushoto akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam wakati wa mahafali ya 22 ya shele hiyo
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi msimbazi mseto wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mahafari ya 22 ya shele hiyo

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>