PICHA ZA ZIARA YA KATIBU WA CCM KATIKA MAJIMBO YA KWIMBA NA SUMVE WILAYANI...
Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu, akihutubia mkutano wa hadhara katika Mji wa Ngudu Wilayani Kwimba mkoani Mwanza.Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu, akimpatia vyombo kiongozi wa...
View ArticleAJALI YA BASI LA ABIRIA NA FUSO YATOKEA RUAHA MBUYUNI
Habari zilizotufikia muda wa saa zima sasa zinaeleza kuwa watu kadhaa ambao idadi yao bado haijafahamika, wanasemekana wamepoteza maisha baada ya basi la abiria liitwalo Nganga linalofanya safari zake...
View ArticleSIMBA YAITUNGUA TOTO BAO 3 MCHEZO WA KIRAFIKI MWANZA
Simba Sports Club jana (JUMAMOSI 11APRL) iliwalowesha Wanakishamapanda timu ya Toto Africans nyumbani kwake dimba la CCM Kirumba Mwanza katika mchezo wa kirafiki kwa kuibugiza bao 3 bila...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA UASKOFU JIMBO KATOLIKI SHINYANGA
ais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye...
View ArticleSHULE YA SEKONDARI YA KUTUKUTU MOROGORO YAFAIDIKA NA MRADI WA ” Airtel Shule...
Wanafunzi wa shule ya sekondari Handeni iliyopo wilayani Handeni wakisoma vitabu vilivyotolewa na Kampuni ya Airtel shuleni hapo kwa ajili ya masomo ya sayansi vyenye thamani ya sh.milioni...
View ArticleSOCCER CITY MABINGWA SAFARI NYAMA CHOMA 2015 JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bebwa (kushoto) na Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Gerald Ngiichi wakimkabidhi kikombe mchomanyama mkuu wa Bar Soccer City ya Sinza, Said Dando mara baada ya...
View ArticleMSHINDI WA SHINDANO LA AIRTEL TRACE STARS AFRICA KUTANGAZWA RASMI NA AKON...
Dar es Salaam, 13 April 2015Finali ya shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika lililoshirikisha washiriki kutoka nchi 13 barani Afrika chini ya majaji mahiri akiwemo Akon, Devyne Stephens na...
View ArticleSAFARI LAGER YATANGAZA MAJINA YA WAJASILIAMALI WALIOFUZU KUPEWA RUZUKU ZA...
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bedwa(kushoto) akitangaza majina ya wajasiliamali wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) watakaopewa ruzuku za Programu ya Safari Lager Wezeshwa...
View ArticleAJALI NYINGINE MBAYA MWANZA
*TAHADHARI*TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI ZA AJALI YA KUTISHA. Ajali hiyo imetokea Eneo la Kisesa baina ya Magari mawili maarufu kwa jina la Dala Dala kwa hapa Mwanza yanayofanya safari zake Kati ya...
View ArticleSELCOM YAMWAGA MAPESA KWA WASHINDI WA SHINDA NA SELCOM
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bi.Winfrida Shoo mkazi wa sinza Dar es salaam...
View ArticleHAPO VIPI....!!
Biashara ya samaki aina ya Sato na Sangara toka ziwa Victoria.Baba Lishe na chakula madhubuti wilayani Serengeti mkoani Mara.Ni upepo gani waweza kuungoa mti huu wa asili ambao mizizi yake imejikita....
View ArticleAJALI NYINGINE TENA;BASI LA JORDAN LAPINDUKA NZEGA,LIKITOKEA JIJINI MWANZA...
Mtu mmoja amefariki dunia huku wengine 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lenye usajili wa namba T 650 AQZ lililokuwa likitoka jijini Mwanza kwenda mkoani Arusha na kupinduka leo...
View ArticleMASHINE ZA BVR AWAMU YA PILI KUPELEKWA MIKOA SABA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Nchini Tanzania itaanza kusambaza mashine za BVR 248 katika mikoa saba nchni Tanzania Kuanzia katikati mwa wiki ijayo.Mikoa iliyopangwa kuanza kupokea mashine hizi ni mikoa...
View ArticleNDESAMBURO ATANGAZA KUTOGOMBEA JIMBO LA MOSHI MJINI .AMUACHIA MIKOBA MEYA...
Katibu mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Moshi na Diwani wa Kata ya Kiusa ,Stephen Ngasa akizungumza katika mkutano huo wa hadhara. Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi...
View ArticleAIRTEL YAKABIDHI MAGARI KWA WASHINDI 8 WA MKOA WA DAR ES SALAAM
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya...
View ArticleNEC YAANZA MAFUNZO YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA COMPUTER
Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Amos Madaha akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya...
View ArticleAJALI NYINGINE TENA YATOKEA LEO MBEYA YAUWA 19
Kila kukicha nchini Tanzania taarifa za ajali zimezidi kutawala vichwa vya habari kwa vyombo mbalimbali, leo tena ikiwa ni April 17 2015 ajali nyingine imetokea Mbeya baada ya gari la abiria kupoteza...
View ArticleCHEGE, TEMBA, MADEE NA DOGO JANJA WATUA MWANZA KWAAJILI YA SHOW YA KAUVUVU...
Mmoja kati ya prizentaZ wa The Hit Zone 'The Voice Character' aka Timothy Ngalula akifanya mahojiano na wasanii Chege Chigunda,Mheshimiwa Temba, Madee Ally na Dogo Janja (hawako pichani wacheki chini...
View ArticleHAWA NDIYO WAJASILIAMALI 10 WA MWANZA WALIOPIGWA SEMINA YA SAFARI WEZESHWA.
MAELEZO HABARI NA SAUTI ZAJA....HIVI PUNDE WASHIRIKI KUTOKA MWANZA NI KAMA IFUATAVYO:-1.Bagaile Shaban Barabara2.Dastan Mutayoba Amon3.David Awasi4.Godlove Charles Muro5.Happiness Mabula Mandula6.Jemes...
View Article