Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDESAMBURO AMUOMBEA KURA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI JAFARY MICHAEL.

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake ,Philemoni Ndesamburo,akimnadi mgombea Ubunge katika jimbo hilo Jafary Michael (Chadema) katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika kata ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOKA AHAIDI KULIVALIA NJUGA SUALA LA CHANGAMOTO YA VIKUNDI VYA UJASIRIAMALI...

Mgombea ubunge wa jimbo la kibaha mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM)   Silvestry Koka  akiwahutubia wananchi  katika  moja ya mikutano  yake ya  kampeni  katika kata za msangani pamoja na kongowe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE LEO AKABIDHI JESHI LA POLISI MAGARI 399 MAPYA KATI YA 777...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU NNE,MAGUFULI AENDELEA KUITIKISA KANDA YA ZIWA,AFANYA...

Mgombea Urais kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Sengerema jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini humo.Katika mkutano huo wa kampeni Dkt...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO, KATIKA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akipata maelezo kuhusu utendaji kazi wa mitambo ya kutunzia kumbukumbu, kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JINSI YA KUTAMBUA KURA ZILIZOHARIBIKA, HALALI.

Elimu ya Mpigakura Kwa ufupiJumapili ni siku muhimu ya kuhitimisha harakati za kisiasa zilizodumu kwa takribanimiezi sita ikijumuisha kutangaza nia, kuchukua fomu, kutafuta wadhamini, uteuzi ndani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUU NDIYO UKWELI KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2015.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani), wakati wa mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Wizara hiyo,jijini Dar es Salaam.Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFDA NA TAASISI YA TRADEMARK EAST AFRICA (TMEA) WAZINDUA MFUMO WA UTOAJI...

 Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Kambi (kulia), akibonyeza kituvye Dar es Salaam leo asubuhi, kuashiria uzinduzi wa mfumo wa utoaji vibali kwa njia ya kielekitroniki (e-portal) ambao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE JIJINI DAR,APOKELEWA KWA KISHINDO

Dk. John Pombe Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM akiwanadi wagombea kiti cha Udiwani kwa wakazi wa Kinondoni kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Biafra Kinondoni jijini Dar es...

View Article


MAGAZETI YA LEO KESI YA MITA 200 YAPAMBA MOTO, LOWASSA ATISHIA KULISHITAKI...

Kesi ya mita 200 moto, Lowasa sasa atishia kushtaki jeshi la polisi ICC. GP Hamdan awaonya waoandaa vurugu. Ni katika magaazeti ya leo Octoba 22.2015

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN, AENDELEA NA ZIARA YAKE...

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere Bububu kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa Wanawake wa Wilaya ya Mfenesini Unguja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. JOHN MAGUFULI AOMBA KURA KUPITIA SIMU

CHAMAcha Mapinduzi CCM kimezidi kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka unaotarajiwa kufanyika Jumapili, Oktoba 25 baada ya kubuni mkakati mpya wa ushindi ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOYCE MSIRU ,MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA...

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji sa na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWASA,Sharry Raymond akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo wakati wa utamburisho wa Mkurugenzi mpya wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - KUFUNGA KAMPENI.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARICCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.Kufunga KampeniCCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL SMARTIFONIKA YALETA SIMU MPYA SOKONI NAFUU KULIKO ZOTE.

Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Bi Dangio Kaniki akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati Airtel ilipozindua  smartifoni mpya ijulikanayo kama Magnus Bravo Z10 zitakazopatikata...

View Article


MAHOJIANO YA LOWASSA NA BBC SWAHILI UCHAGUZI MKUU 2015.

Huku zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya uchaguzi nchini Tanzania wagombea urais wamo katika pilkapilka za mwisho kunadi sera za vyama vyao.Edward Lowassa anawania nafasi hiyo ya urais kwa chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI APANIA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA WAKAZI WA WILAYA YA...

NA VICTOR MASANGU, KIBAHAMGOMBEA Urais  kupitia  tiketi ya Chama  cha mapinduzi (CCM) Dr. John  Magufuli amewahakikishia wananchi wa Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani endapo akipewa lidhaa ya kuongoza...

View Article


ULIVYOKUWA MDAHALO WAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA NYAMAGANA.

...................TAARIFA KAMILI SAUTI NA PICHA ZAKUJIA HIVI PUNDE......................

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NICHAGUENI KESHO KUTWA KWA KURA NYINGI NIWALETEE MAENDELEO JIMBO LA MBAGALA

Soud Rajab.Na Dotto MwaibaleMGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajab (pichani kushoto), amewaomba wananchi wa Jimbo la Mbagala wamchague ili aweze kuwaletea maendeleo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUPIGE KURA, TUPOKEE MATOKEO KWA AMANI NA UTULIVU, KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI

JUMAPILIya Oktoba 25, 2015, Tanzania inafanya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Uchaguzi ni nini? Zipo tafsiri mbalimbali...

View Article
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>