MAMIA WAJITOKEZA SAFARI YA MWISHO KUMSINDIKIZA MWANASHERIA KITWALA
Mwili wa marehemu Elias Kitwala (wakili wa kujitegemea) ukiwa katika kanisa la AICT Bugarika wakati wa ibada ya kumwombea ambapo walioketi kulia ni Bi Joyce Masunga (katibu wa CCM Mkoa), Mkuu wa wilaya...
View ArticleMAMONG'O KUKISANUKISHA ROCK BOTTOM LEO
Mtangazaji Philbert Kabago wa Passion Fm Mwanza akizungumza na wasanii wa kundi la Jambo Squard toka jijini Arusha wanaonekana katika picha inayofuata ambao wako jijini hapa na leo watapiga show ndani...
View ArticleBIG DAY FOR IBF, GHAHA, NIGERIA AND AFRICA
IBF/AFRICA āĀ SATURDAY 04 MAY, 2013 ā DAR ES SALAAM, TANZANIAĀ -Ā GhanaianĀ fighting machine andĀ BEIJING 2008Ā OlympiadĀ Issa SamirĀ becomes the first ever GhanaianĀ āIBF Youth Champion of the WorldāĀ after...
View ArticlePROF. LIPUMBA AONGOZA MIKUTANO YA NDANI MJADALA KWA MAENDELEO YA WOTE MWANZA.
VUTA SUBIRA HABARI KAMILI NA MAELEZO YAJA
View ArticleMEYA WA JIJI AUNGANA NA WAREMBO WA MISS NYAMAGANA KUFANYA USAFI JIJINI MWANZA
Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā VUTA SUBIRA HABARI KAMILI NA MAPICHA ZAIDI YAJA
View ArticleELIMU FC NDIYO MABINGWA ESTER BULAYA CUP 2013
Ā Na Shomari Binda,Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā BundaMICHUANOya Kombe la Mbunge wa Viti Maalum Kupitia Vijana (CCM) Esther Bulaya inayojulikana kama Esther Bulaya Cup imemalizika wilayani Bunda Mkoani Mara ambapo Timu...
View ArticleAIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI TANGA.
Meneja Mauzo wa Airtel mikoa ya Tanga na Kilimanjaro Bw. Edmund LaswayĀ akikabidhi baadhi ya vitabu vya sekondari kwa afisa elimu wa wilaya yaĀ korogwe Bw. Shaaban Shemzighwa Ā ikiwa ni msaada ulitolewa...
View ArticleREDS MISS NYAMAGANA NA WAANDAAJI ANA KWA ANA NA MEYA WA JIJI LA MWANZA KATIKA...
Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akizungumza na warembo wa kinyang'anyiro cha Reds Miss Nyamagana 2013 katika hafla ya chakula cha jioni ndani ya Gold Crest hotel jijini Mwanza ambapo Meya...
View ArticleRUGE MUTAHABA: NO BONGO FLAVOUR CLOUDS FM TODAY SIKILIZA MAHOJIANO YA LEO...
Uongozi wa Clouds Media Group kupitia Mkurugenzi wake wa Utafiti na Matukio, Ruge Mutahaba umemtaka msanii wa Bongo Fleva Judith Wambura 'Lady Jay Dee', ajipange na kupokea changamoto badala ya...
View ArticleMBUNGE WA KWIMBA AIKWAA TENA NAFASI YA UCHUMI CCM MWANZA
Mbunge wa Jimbo la Kwimba Shanif Hirani Mansoor akizungumza mara baada ya kutangazwa mshindi.Na Peter FabianĀ Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā Ā MWANZA.HALMASHAURI Kuu ya CCM Mkoa wa Mwanza imefanya...
View ArticleIBF YAMPONGEZA BONDIA FRANCIS CHEKA
Shirikisho la Ngumi la Kimataifa (IBF) limempongeza bondia maarufu wa kitanzania Francis Cheka kwa juhudi zake za kuwa bondia mzuri mwenye viwango vya kimataifa katika uzito waĀ Super...
View ArticleWADAU WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MWANZA (MPC) WAJITOKEZA KUCHANGIA...
Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa habari mkoani Mwanza (MPC) Deus Bugailwa akitamka ahadi za watu mbalimbali na mashirika ambayo hayakufanikiwa kufika katika Harambee hatua ya Mwanza ya kuchangisha...
View Article"HAYA SAMAKI ANAYETEMA MAJI HUYOOOOooooo!!!"
Haya sasa... kwa wale wadau waliokuwa wakihitaji kujionea jinsi sanamu la samaki la jijini Mwanza linavyotema maji mpango mzima huu tunaanza na still picture (juu) kisha kideo hapo chini.Ā
View ArticleWASANII WA KIZAZI KIPYA WANG'ARISHA TAMASHA LA AIRTEL YATOSHA MBAGALA
Msanii mahiri wa Hi Hop nchini maarufu kama FID Q akikamua katika jukwaa maalum la kuitambulisha huduma kabambe ya Airtel Yatosha katika viwanja vya Zakhem jiini Dar es Salaam na kufanikisha...
View ArticleFUNDI UASHI AIBUKA MSHINDI WA MAMILIONI YA AIRTEL
Mshindi wa shilingi milioni 15 wa promosheni ya Amka Milionea Juma Ibrahim Hamza, ambaye niĀ fundi uashi akilia kwa furaha na kushindwa kuongea mara baada ya kutangazwa mshindi wa shilingi milioni 15...
View ArticleSIR ALEX FERGUSON ATANGAZA RASMI KUSTAAFU UKOCHA MANCHESTER UNITED
Sir Alex Ferguson to retire from Manchester UnitedSir Alex Ferguson will step down as Manchester United manager at the end of the season after 26 years in charge. The Scot, 71, has won 38 trophies for...
View ArticleMISS EARTH TANZANIA 2012, BAHATI CHANDO KUANDAA HAFLA YA MOTHER'S DAY mei 12...
Pichani kati ni Miss Earth Tanzania 2012,Bahati Chando akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mapema leo kwenye hoteli ya Lamada,Ilala jijini Dar kuhusiana na uzinduzi wa sherehe yao ya...
View Article