Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFANDE SELE AWASIHI WASANII KUWA NA MOYO WA KUSAIDIANA

 Baadhi ya Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza jioni ya leo kwenye tamasha la Fiesta 2014 lenye kauli mbiu (sambaza upendo) wakiwasili mapema leo mchana nyumbani kwa Mama Mkwe wa Afande Sele,mtaa wa Amani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKOLANI FC YATWAA UBINGWA MICHUANO YA PEPSI KOMBE LA MEYA 2014

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Injinia Evarist Ndikilo akimkabidhi nahodha wa Mkolani Fc Meck Lyimo, kombe la ubingwa wa Michuano ya Pepsi Kombe la Meya 2014 mara baada ya timu hiyo kuifunga timu ya kata ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU TUPIGE VITA AJALI ZA BARABARANI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WA NYUMBA WA DEGE ECO- VILLAGE WAANZA, WANANCHI WACHANGAMKIA FURSA

Mradi wa nyumba unaosimamiwa na kampuni ya Hifadhi inayoitwa Dege Eco-Village umeshiriki maonyesho ya nyumba yaliyofanyika jijini Dar es Salaam inategemea umeanza hivi karibuni.Akiongea na waandishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI WA NORWAY NA RWANDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne Marie Kaarstad, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU WA TFF AIPONGEZA ALLIANCE KWA KUIBUA VIPAJI VYA VIJANA KATIKA SOKA NA...

Mwaamuzi bora wa mashindano ya Kombe la Meya 2014, David Albert, mwanafunzi wa darasa la tano wa shule na kituo cha Elimu na Michezo cha Alliance akiwapungia mikono wadau wa michezo na wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 115 WALIFARIKI KATIKA KANISA LA T.B. JOSHUA

 Serikali ya Afrika Kusini inasema kuwa watu miamoja na kumi na tano wengi wao wakiwa raia wa Afrika Kusini, walifariki baada ya kanisa kuporomoka nchini Nigeria.Idadi kamili ya raia wa Afrika Kusini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENGE WA UHURU WATEKETEZA SHAHENA YA BANGI WILAYANI RORYA MKOANI MARA.

OCD wa Jeshi la Polisi Utegi wilayani Rorya (JINA LITAKUJIA HIVI PUNDE),  amesema mapambano dhidi ya biashara na kilimo cha bangi wilayani Tarime, moja ya changamoto zake kubwa ni biashara hiyo haramu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIFA YAANZA KUUKARABATI UWANJA WA NYAMAGANA.

 NA ALBERT G. SENGO, MWANZA:BAADA ya kipindi kirefu cha wapenzi wa soka wa mkoa wa Mwanza kuwa na kiu ya kutaka kuuona uwanja wao wa Nyamagana ukianza kufanyiwa ukarabati na kuwa na hadhi, hatimaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WASOMEA CHINI YA MTI

WANAFUNZI wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum kwa ajili ya kusomea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MWAKA LA WAKAGUZI WA HESABU ZA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE YA SHIBULA MWANZA YAPIGWA TAFU NA AIRTEL

Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza Juma Kasandiko (kulia) akimkabidhi vitabu mkuu wa shule ya Sekondari Shibula vyenye thamani ya shilingi millioni moja na nusu vilivyotolewa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUANO YA 'Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup' KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA

Viongozi na wawakilishi wa timu shiriki za Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup wakizionesha jezi watakazozitumia katika michano hiy, inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi keshokutwa Ijumaa kwenye Uwanja wa...

View Article


HAYA NI MAMBO 10 YA KUSTAAJABISHA USIYOYAJUA KUHUSU MWILI WAKO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUANO YA KOMBE LA AFRIKA MASHARIKI LA ALLIANCE KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA...

Mkurugenzi wa kituo cha elimu na michezo cha Alliance Academy ya jijini Mwanza, James Bwire akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari kuhusiana na Uzinduzi wa Michuano ya Kombe la Afrika Mashariki la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAJILI WA MBIO ZA ROCK CITY WAZINDULIWA MWANZA

Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akionesha fomu yake mara baada ya kujisajili kushiriki mbio za 'Rock City Marathon'MEYA wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula amekuwa mtu wa kwanza kujisajili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI NA WANACHAMA WA CHADEMA WAPATAO 12 WATIWA MBARONI BAADA YA KUFANYA...

Polisi walionekana kutanda kwenye maeneo mbalimbali jijini hapa wakiwa na silaha za moto, huku gari la maji ya kuwasha nalo likipita mitaa kadhaa ya barabara muhimu kuashiria kuwasaka waandamanaji....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND WAZIDI KUTIKISA JIJI LA DAR KWA BURUDANI NZITO

Skylight Band Divas Mary Lukos(Wa kwanza Kushoto) Aneth Kushaba(katikati) Na Digna Mpera (Wa kwanza Kulia) wakitoa burudani ya nguvu Kwa Mashabiki Wao Ndani ya Kijiji cha Maraha Thai Village Ijumaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRISTIAN BELA NA MALAIKA BAND ANA KWA ANA NA WAKAZI WA MWANZA AT BUZURUGA...

Prizenta wa Passion Fm Radio Mwanza Philbert Kabago (kushoto) akikisanukisha mtamboni 91.0 mida hii.Baadhi ya wanamuziki waimbaji wa Malaika Band wakiwa ndani ya studio za Passion Fm Mwanza kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KIVUKO CHA MV TEGEMEO KUFANYA SAFARI ZA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rsmi Kivuko cha Tegemeo tayari kuanza kufanya safari zake kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema,...

View Article
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>