Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUGOMBANIA MKANDA...

Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa UBO Africa Antony Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wao watakaozipiga 28 feb...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEIKH SHARIF AZUA MAPYA YA URAIS 2015

Sheikh Shariff Matongo  akizungumza leo na waandishi wa habari ofisini kwake  jijini Dar es Salaam(hawapo pichani)kuhusu  ndoto yake ambayo ameoteshwa kuelekea mwaka 2015.NA CHALILA KIBUDA,GLOBU YA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND INAKUKARIBISHA KWENYE MKESHA WA MWAKA MPYA ESCAPE ON

USIKOSE.....!!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAVUVI, WAFANYABIASHARA WA SAMAKI NA DAGAA WATAKIWA KUTUMIA VIPIMO SAHIHI...

 NA PETER FABIAN, MWANZA.WAVUVIna Wafanyabiashara wa samaki na dagaa wa Visiwa vya Wilaya za Ukerewe na Sengerema mkoani Mwanza, wamepewa Elimu na kushauriwa kufanya biashara zao ya kuuza na kununua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTEJA WA DAWA ZA KULEVYA UNACHANGIWA NA UNYANYAPAA TOKA KWA JAMII

UTEJA  WA DAWA ZA KULEVYA  UNACHANGIWA  NA  UNYANYAPAA TOKA  KWA JAMIINa:  Edwin sokoMwanza Tabia  ya  jamii  kuwanyanyapaa  watumiaji wa dawa za kulevya  imekuwa ikichangia  kwa kiasi  kikubwa  wateja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNAUAGA MWAKA 2014 USIKU HUU NDANI YA JEMBE BEACH MWANZA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAA CHACHE KUINGIA 2015 NDANI YA JEMBE BEACH MWANZA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA TEMEKE NA VITONGOJI VYAKE WALIPOKEA VYEMA TAMASHA LA TUO8JANUARY,...

  Hii ilikuwa ni picha ya pamoja ya wasanii na mashabiki waliojitokeza kuunga mkono tamasha hilo la bure ambalo lina lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika maamuzi yenye mustakabali wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 20 WAFARIKI HARUSINI AFGHANISTANI.

Mmoja ya watoto waliojeruhiwa wakati bomu liliporushwa katika nyumba moja iliyokuwa ikifanyikia sherehe ya harusi mkoani Helmand nchini Afghanstan. Takriban watu 20 waliaga dunia.CHANZO: BBC...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA YAUKARIBISHA MWAKA 2015 KWA STYLE HII....!!

Ni bendi mpya ya vijana tupu iliyo na maskani yake hivi sasa jijini Mwanza The Mambaz aka Jembe ni Jembe Band aka JJ-Band walikamua ile kisawasawa na kuzikonga nyoyo za mashabiki walioibuka kuuaga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKESHA WA KUKARIBISHA MWAKA MPYA UWANJA WA CCM KIRUMBA WATAKIWA KUENDELEA...

NA PETER FABIAN, MWANZA. MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ameonya baadhi ya watu wakiwemo wanasiasa wanaohamasisha vurugu na uchochezi unaopelekea uvunjifu wa amani. Akizungumza kwenye mkesha wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA SITISHA MKATABA WA KAMPUNI YA SENSON YA UKUSANYAJI USHURU WA...

NA PETER FABIAN, MWANZA. HALMASHAURI ya Jiji la Mwanza imesitisha mkataba na Wakala wa ukusanyaji ushuru wa Mabango Kampuni ya Senson Ltd katika maeneo yote ilikokuwa ikikusanya fedha jijini hapa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA YAANZA KWA KISHINDO TAIFA CUP 2015 WANAWAKE

Rais wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) Jamal Malinzi akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa Michuano ya Kitaifa ya Soka kwa wanawake ijulikanayo kama Proin Promotions Women Taifa Cup 2015...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOB HAISA ASITISHA RASMI UTARATIBU WA KUACHIA WIMBO MPYA KILA MWEZI

"Wapendwa mashabiki na wadau wa Muziki ninapenda kuwataarifu kwamba ule utaratibu  tuliokua tukiendeleanao wa kuachia wimbo mpya kila mwezi tumeusitisha rasmi ukiwa na nafanikio lukuki, Sina zaidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHALI NA DULLAH MBABE NGOMA DROO

Na Michael Machellah.MPAMBANO  wa ngumi za kirafiki kati ya Thomasi Mashali kutoka Manzese jijini Dar es Salaam na Abdalah Pazi kutoka Mwananyamala limetoka sare (Technical draw-dt) baada ya Thomas...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JK AMTEUA DK.MIGHANDA KUWA MWENYEKITI BODI YA WAKURUGENZI TANESCO

Tanesco.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dk. Mighanda Manyahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).Kwa taarifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY DR. SEBASTIAN NDEGE

USKONDE PICHA ZAIDI ZAJA......!!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANA WA RAILA ODINGA AFARIKI

Fidel Odinga mwana wa aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga amepatikana akiwa amefariki nyumbani kwake huko Karen.Maafisa wa polisi tayari wameanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YA LEO LEO WELCOME AT JEMBE BEACH MWANZA

GSengo, Cedrick na Cuthbert.'PAMOJA SANA' Dr. Chacha na familia.Utafiti....!!Mambo ya 'choma chomaz' Kijembejembe.Dawati la Mivinyo at Jembe. Maadhari ya Jembe mida ya usiku.Ni Jembe Beach Mwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DORIS MOLLEL ACHANGIA VIFAA VYA KUPUMULIA KWENYE WODI YA WATOTO NJITI SINGIDA...

Redds Miss Kanda ya Kati 2014/15, Doris Mollel akiongea Maneno machache wakati akikabidi mashine mbili za kupumulia kwa watoto waliozaliwa kabla ya muda wa kawaida zenye thamani ya Tsh millioni 1.2...

View Article
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>