Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12435

PART TWO YA MUZIKI ASILI NDANI YA SHY TOWN.

$
0
0
Ni manjonjo ya mwanamuziki Saida Karoli kwenye Tamasha la Nani zaidi lililofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Shinyanga.

Hapa kulikuwa kukifanyika kitu ndiyo maana mashabiki macho yote mbele shugulini.

Atomy Sifa supa staa wa Kenya anayeng'ara burdanini...

Hapa ni mauno viuno balaaaa....

Gusa unate....na densa wa Atomy Sifa..

Na rabsha hazikukosekana...lakini usalama ulisimama imara.

Mzuka wa Atomy Sifa.

Akadanse ya Madensa wa Atomy Sifa.

Oyaaaa umekanyaga waya....

Utamu...

Macho tukioni...

Hapo sasa....

Bonge wa Clouds fm (kushoto) akiwa na moja ya Wadhamini wa Tamasha hilo toka Coca cola.

We.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12435

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>