WAZIRI WA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI ASHIRIKI IBADA YA HARAMBEE IGOMA...
SAMAHANI WADAU MTANDAO UNAZINGUA MAELEZO YAJA
View ArticlePART TWO YA MUZIKI ASILI NDANI YA SHY TOWN.
Ni manjonjo ya mwanamuziki Saida Karoli kwenye Tamasha la Nani zaidi lililofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Shinyanga.Hapa kulikuwa kukifanyika kitu ndiyo maana mashabiki macho yote mbele...
View ArticleMSIBA WA ALBERT MANGWEA WASABABISHA MWANA FA NA KALA PINA KUSIMAMISHA SHOW ZAO.
Ni vigumu kuamini lakini taarifa ambazo tayari zimethibitishwa kwa masaa sasa ni kwamba Rapper, Freestyler, Albert Mangwea amefariki dunia leo hii katika majira ya saa 9 alasili.Inatajwa kuwa jana...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA MICHUANO YA AIRTEL Rising Stars 2013
Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano Mallya akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa progam ya Airtel Rising Stars 2013 uliofanyika katika Ofisi za TFF jijini Dar...
View ArticleMTOTO RAMLA ADAM ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
MTOTO RAMLA ADAMMTOTO RAMLA ADAM kushoto akilishana keke na Zainabu Mhamila 'Ikota' wakati wa siku yake ya kuzaliwa kwake iliyofanyika nyumban kwao Buguruni ramla alitimiza miaka sita katika siku yake...
View ArticleERICK SHIGONGO AUNGANA NA WADAU WENGINE KUSHIRIKI UZINDUZI WA FLORA SHOW MWANZA
Mjasiliamali ambaye pia ni mkurugenzi wa Global publishers Bw. Erick Shigongo akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa kipindi kipya cha televisheni kiitwacho Flora Show ambacho...
View ArticleHOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHE. EZEKIAH WENJE...
Ezekiel Wenje.1.0 UTANGULIZIMheshimiwa Spika, katika hotuba ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika bajeti ya wizara hii mwaka 2012/13, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni inayoongozwa na...
View ArticleMWILI WA NGWEA ULIANZA KUPATA UBARIDI KABLA YA KUFIKISHWA HOSPITALI, BUSHOKE...
Moja kati ya marafiki wa karibu wa msanii albert Mangwea aliyekuwa karibu naye nyakati za mwisho za maisha yake aliyejitambulisha kwa jina la Goddy amezungumza na Amlifaya ya Clouds fm jioni ya leo...
View ArticlePEPSI KUDHAMINI MEYA CUP MIAKA MITATU MFULULIZO
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula (kulia) akizungumza na vyombo vya habari juu ya udhamini wa mashindano ya Meya Cup 2013, katikati ni Meneja wa kampuni ya SBC watengenezaji wa vinywaji...
View ArticleKWA MARA YA KWANZA MISS MWANZA KUPATA HESHIMA YA BURUDANI TOKA KWA MH. SUGU
Sindano la kumtafuta mrembo wa mkoa wa Mwanza, linatarajiwa kufanyika June 14 katika viwanja vya Yatch Club jijini Mwanza.Warembo 18 kutoka wilaya mbalimbali za mkoa wa Mwanza wamejitokeza kushiriki...
View ArticleMWANZA NG'ARING'ARI...WIKI YA USAFI YAZINDULIWA RASMI
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo (wa 5 kutoka kushoto) akiongoza shughuli za usafi ndani ya jiji la Mwanza ikiwa ni sehemu ya Uzinduzi wa wiki hiyo ambayo itaadhimishwa kila mwanzo wa kila mwezi...
View ArticleWAZIRI MKUU KESHO KUFUNGUA SHEREHE ZA BULABO 2013 MAANDALIZI YAKAMILIKA...
Tamasha la Bulabo huusisha ushindani wa ngoma za asili za watu wa kabila la wasukuma, na katika ushindani waganga na wachawi huusishwa ili kupata ushindi, na hii ndiyo kamati ya ufundi, unaambiwa...
View ArticleAIRTEL RISING STARS YATOA SEMINA ELEKEZI
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mmbando akiongea na makatibu wakuu wa mikoa na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika katika ukumbi...
View ArticleWAZIRI MKUU AZINDUA TAMASHA LA BULABO 2013 KWA KUSIMIKWA MSHAURI WA WATEMI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akisimikwa kuwa Mshauri wa Watemi wa Kabila la wasukuma katika tamasha la Bulabo alilolizindua rasmi jana katika viwanja vya Kisesa wilaya...
View ArticleRASIMU YA AWALI YA KATIBA YASOMWA NKABAAAAaaa....!
Yapunguza madaraka kwa rais.Serikali tatu kuundwa.Mgombea binafsi tiki.Wabunge kikomo miaka mitatu.Wabunge wa viti maalum bai bai.Tume huru ya uchaguzi ndani.Urais uhojiwe mahakamani.Spika wa Bunge...
View Article