BONDIA 'IDDY BONGE' YUKO FITI KUSHUSHA MAKONDE.
Kocha Kwame Mkuluma kulia akimwelekeza Bondia Iddy Kipandu 'Iddy Bonge' jinsi ya kutupa makonde mazito mazito Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comKocha Kwame Mkuluma kulia akimwelekeza Bondia...
View ArticleMWILI WA ALBERT NGWEA WAWASILI TANZANIA.
Mwili wa marehemu Albert Mangwea ukipelekwa Hospitali ya Rufaa MuhimbiliMwili wa marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia may 28 huko Johannesburg nchini Afrika ya kusini leo umeingia jijini Dar es...
View ArticleFAMILIA YA PISTORIUS YASHTUSHWA NA PICHA
Familia ya mwanariadha mlemavu nchini Afrika Kusini, Oscar Pistorius, wameshstushwa na picha zilizofichuliwa za bafu alimomuulia mpenzi wake mnamo mwezi Februari.Pistorius atafikishwa mahakamani kwa...
View ArticleWAZIRI MKUU ALIPOKOSHWA NA MAZURI YALIYOPO BUJORA
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwishoni mwa wiki alifungua Tamasha la ngoma za jadi kwa kabila la Wasukuma lijulikanalo kwa jina la Bulabo na hapa pichani alikuwa akitembelea viunga...
View ArticleMWILI WA ALBERT MANGWEA WAWASILI VIWANJA VYA LEADERS ASUBUHI HII, KUAGWA LEO.
Mwili wa Mwanamuziki wa Bongo flavour nchini Tanzania Albert Mangwea umewasili asubuhi ya leo kwenye viwanja vya Leaders Club ikiwa ni matayarisho ya kutoa heshima za mwisho kwa wapenzi wa muziki wake...
View ArticleBAG PARTY LA DANNY LAMECK LILIVYOPENDEZA
Bwana harusi mtarajiwa Danny Lameck akimtambulisha mama yake mzazi katika bag paty la nguvu lililofanyika na kufana ndani ya Gold Crest jijini Mwanza. Neema Lameck ni dada wa bwana harusi mtarajiwa na...
View ArticleBHARTI AIRTEL YASAIDIA KUONDOA UMASKINI KUPITIA MRADI WA MILLENIUM VILLAGE
Meneja huduma kwa jamii wa Airtel Hawa Bayumi akiongea wafanyakazi wa afya wa mradi wa millenium village wakati akikabithi simcards 240 zitakazowasaidia wafanya kazi hao kuwasiliana kwa bei nafuu na...
View ArticleMWANZA ILIVYO ADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI HII LEO
Ujumbe wa mwaka huu juu ya siku ya mazingira.Shughuli mbalimbali za utoaji elimu kwa wilaya za Nyamagana na Ilemela zimefanyika leo katika viwanja vya Ghand Hall jijini Mwanza.Hili ni banda la Wizara...
View Article"KWA HERI ALBERT MANGWEA"
Msanii Wa Muziki wa Kizazi Kipya Nasibu Abdul almaarufu kama Diamond akipita kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Albert Mangwea. Baadhi ya Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Wa Kwanza...
View ArticleMWANZA YANYAKUA TENA TUZO YA USAFI KWA MARA YA 8 MFULULIZO.
Kwa mara ya nane mfululizo jiji la Mwanza limeendelea kushika nafasi ya kwanza kwa kuwa jiji linaloongoza kwa Usafi Tanzania, kwa mujibu wa Mstahiki Meya Stanslaus Mabula hivi sasa aliyeko wilaya ya...
View ArticleMALKIA WA TAARAB HADIJA KOPA AFIWA NA MUMEWE
Jafari Ally enzi za uhai wake akiwa na mkewe Malkia wa Mipasho nchini Tanzania, Khadija Omar Kopa wakifuatilia onesho la Mshauzi Classic ndani ya Mango Garden. Habari zilizoufiki mtandao huu hivi punde...
View ArticleVIJANA WENGI WAJITOKEZA USAJILI AIRTEL RISING STARS
Vijana wengi wajitokeza kwenye usaliji wa Airtel Rising StarsUSAJILI wa timu za mikoa inayoshiriki mashindano ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mwaka huu umekuwa na...
View ArticlePOLISI AVAMIA KAMBI YA ALBINO MISUNGWI, AMNG'OA MENO MLINZI
Matron wa kituo cha walemavu cha Mitindo Judith Mlolwa (mwenyekiti wa CCM wilaya ya Misungwi) KATIKA hali ya kushangaza, askari Polisi mmoja wa Kituo cha Misungwi, amevamia shule maalum ya walemavu wa...
View ArticleTAFAKURI YA LEO.....!!!
tionsErasto Sebastian NgomaMwalimu kaingia class akiwa na daftari la nukuu, akafunua na kuanza kuandika ubaoni:Unga sh. 26,000/-Maharage sh. 15,000/-Pango sh. 150,000/-Karo sh. 250,000/-Mafuta sh....
View ArticleAirtel yaongeza muda vifurushi vya Airtel Yatosha, sasa huduma masaa 25 kwa siku
Dar es Salaam Juni 5 2013 Airtel Tanzania imeendelea kutimiza dhamira yao ya kuwapatia wateja wake unafuu zaidi kupitia huduma yake ya AIRTEL YATOSHA nchini ambapo sasa wateja watafurahia Vifurushi vya...
View ArticleJAFET KASEBA NA MMALAWI KUZIPIGA
Jafet Kaseba akitunisha misuli mbele ya Anthony Ruta ambaye alikuwa akisimamia zoezi zima la upimaji akisaidiwa na ibrahim kamwe 'bigright'KASEBA KUZIPIGA NA RASCO CHIMWANZA KESHO Bondia Jafet Kaseba...
View Article