MAMBO YA UKEREWE
HII NI VIDEO YENYE WIMBO WA ROBERT MUGABE, JK NYERERE, AUGUSTINE NETO, NA MARAIS WENGINE MAARUFU WAASISI WA BARA LA AFRICA. NGOMA HUSABABISHA NDOA NYINGI KUVUNJIKA HUKO VISIWANI UKEREWE. CD ZA LIVE...
View ArticleROSEMARY PETER AVISHWA TAJI LA REDDS MISS NYAMAGANA 2013, BAADA YA MSHINDI WA...
Mkurugenzi wa Stoppers Entertainment, Mukhsin Mambo (Mc Stopper) akimvisha Sash Mrembo Rosemary Peter kuwa Redds Miss Nyamagana 2013Mkurugenzi wa Stoppers Entertainment, Mukhsin Mambo (Mc Stopper)...
View ArticleDANIEL LAMECK AMBAYE NI MWANA WA MBUNGE WA LORYA AUAGA UKAPERA, AFUNGA NDOA...
Ni tabasabu la furaha kwa wawili ambao sasa wamekuwa mwili mmoja Daniel Lameck Airo na Yuniva mara baada ya kufunga ndoa takatifu siku ya jana kwenye kanisa la Sabato kirumba jijini Mwanza.Bi harusi...
View ArticleKASEBA AMCHARAZA MMALAWI
Japhet Kaseba KASEBA NA CHIPWANZA WAMALIZA UBISHIBondia Jafet Kaseba wa taanzania amemshinda Rasco chimwanza wa malawi katika pambano la ubingwa lililofanyika katika ukumbi wa DDC Magomeni...
View ArticleREDDS MISS MWANZA 2013/14 NI TAMBO NA MAJIGAMBO!!
REDDS MISS MWANZA 2013/14 NI TAMBO NA MAJIGAMBO!!Washiriki wanaowania taji la Redds Miss Mwanza 2013, wameanza tambo na majigambo ya kunyakua Taji hilo, huku kila mmoja akieleza sifa za kushinda taji...
View ArticleNINA HAKI YA KUSIKILIZWA ASEMA MANDELA
Almaarufu Mandela anaronga "Kila mtanzania ana uhuru wa kutoa maoni"
View ArticleMKUU WA MKOA WA MWANZA AKABIDHI VIFAA KWA WASHIRIKI MEYA'S CUP 2013...
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akipiga penati ndogo kuashiria uzinduzi wa hafla ya ukabidhi vifaa kwaajili ya michuano ya Pepsi Meya's Cup 2013, huku Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus...
View ArticleAFYA YA MANDELA BADO SI YAKURIDHISHA.
Mandela ndiye aliyeongoza vita dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi.Rais mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela, angali katika hali mbaya ingawa imeweza kudhibitiwa. Mandela amelazwa katika hospitali...
View ArticleTCRA YAAMURU CHANEL YA STAR TV IREJEE MARA MOJA KATIKA VING'AMUZI VYA STAR TIMES
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Prof. John Nkoma akitoa maamuzi kuhusu kujitoa kwa Star TV kwenye Star Times. Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) leo imekiagiza kituo cha Star Tv kurejesha mara moja...
View ArticleILIVYOKUWA HARUSI YA H.BABA NA FLORA MVUNGI
H Baba na mkewe Flora Mvungi katika pozi la siku ya sendoff ambayo ilifuatiwa na harusi ya kupendeza.. "Kula mpenzi" Ni kauli ya Flora Mvungi ilisikika wakati akimlisha epo H. Baba kiashiria kuwa...
View ArticleAIRTEL YAKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI ZA MICHEZO KUJADILI NAMNA YA KUBORESHA...
Meneja Mahusiano wa Kampuni ya simu za Mkoni ya Airtel Tanzania , Jackson Mmbando akizungumza na wahariri wa habari za Michezo wakati wa hafla iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam...
View ArticleEh bana EEee..!! MWANALIBENEKE OTHMAN MICHUZI KAFANYA VITU VIKUBWA NDANI YA...
Mwanalibeneke Othman Michuzi a.k.a "Mzee wa Mtaa kwa Mtaa" wa Kampuni ya Michuzi Media Group juzi kati alitinga ndani ya Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Muziki za Kilimanjaro Tanzania Music Awards...
View ArticleMADA ILIYONIKOSHA LEO FES-BUKUNI
OptionsKijukuu Cha Bibi KAISEE UNAJUA SI KILA SIKU INAWEZA KUISHA VIZURI UKARUDI HOME NA MKWANJA,SIKU NYINGINE UNAWEZA KURUDI EMPTY ALAFU UKAKUTANA NA KITUKO NJIANI AMBACHO KIKAKUPA FURAHA MPK BASI,LEO...
View ArticleKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAAHIDI KUENDELEZA UDHAMINI TAMASHA LA BULABO.
Kiongozi wa kikundi cha Basesilia Bujora, akionyesha umahiri wake wa kucheza na nyoka katika siku ya mwisho wa tamasha hilo ambapo kikundi chake kiliibuka washindi wa siku hiyo, Tamasha hilo lililodumu...
View ArticleMABONDIA WA DAR NA MORO KUPAMBANA JUNE 16
Partic Pakavo.KING CLASS MAWE Bondia Patrick Anthony Kavako'Baunsa' wa Morogoro ametamba kumsambalatisha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao wa raundi nane utakaofanyika siku ya...
View ArticleREDD'S MISS KINONDONI 2013 WATEMBELEA WAGONJWA NA KUFANYA USAFI HOSPITALI YA...
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni Dokta Gunini Kamba (kulia) akiwa na mratibu wa shindano la Redd's Miss Kinondoni 2013, Ssebo wakiwaongoza warembo mara baada ya warembo hao kutembelea hospitali ya...
View ArticleJIJI LA MWANZA BADO NI BIKIRA KWA MAJENGO
Jiografia kutoka kiunga cha Nera hadi Mwaloni jijini Mwanza. Eneo la ofisi za jiji la Mwanza na zingira ya karibu.Jiografia ya Furahisha na uwanja wa CCM Kirumba.Jiografia ya Kirumba na milima ya...
View ArticleREDSS MISS MWANZA WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA KUPINGA AJIRA KWA WATOTO KWA...
Mmona kati ya washiriki wa kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Mwanza akionyesha ishara ya amani katika flash ya kamera ya blogu ya G. Sengo ikiwa nisehemu ya kuadhimisha siku ya kimataifa kupinga ajira...
View Article