Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12428

HIZI HAPA PICHA ZA UZINDUZI WA UMOJA WA WAFANYAKAZI WA MAHOTELI MWANZA.

$
0
0
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula (kulia) akipokea katiba ya Umoja wa Wafanyakazi na Wamiliki wa Mahoteli mkoa wa Mwanza kutoka kwa Mwenyekiti wa Umoja huo Mr. Dharmesh Talsania (kushoto) akiwa na katibu wake Mr. Shijani A. Mtunga kwaajili ya uzinduzi.
Katibu wake Mr. Shijani A. Mtunga akisoma risala kwa mgeni rasmi pamoja na wadau walio jitokeza kwenye sherehe hiyo iliyofanyika ndani ya ukumbi wa Gold Crest jijini Mwanza.
Hawa ni mameneja wa Hoteli mbalimbali jijini Mwanza wakiwa katika parade la utambulisho.
Jiografia ya ukumbi wa Nyerere ndani ya Gold Crest katika usiku huo.
Chating za hapa na pale...
Meza za wadau.
Ni hali za meza za watumishi wa hoteli mbalimbali walio jitokeza hapa.
Vijana wa kileo.
Majeshi ni moja ya wanamuziki walio nakshi usiku huo kwa burudani. 
Mc Magoma ndiye aliyekuwa akiendesha uskani wa shangwe za usiku wa uzinduzi.
Party pipo!!
Meza naada ya meza.
Safi.
Wadau kutoka Halmashauri ya jiji la Mwanza walio ambatana na mgeni rasmi.
Dj Chriss on the 'Wheelz of Chuma'.
Chiaz ya meza kuu.
Chiaz za wadau wenyewe....
Kisha ikafuata burudani pevu toka kwa bendi ya Super Kamanyola ambayo maskai yake ni Villa Park Resort.
Nyuz bin nyuz.
Anaitwa Benno Villa.
Burudani imekolea.
Hapa jeh!!
Hatari lakini salama!!!


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12428

Trending Articles