Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IRINGA YAPATA MABINGWA WA SAFARI HIGHER LEANING IRINGA MBEYA

Meneja mauzo wa Tbl Iringa, Philip Kubecha(kushoto) akimkabidhi kikombe nahodha wa timu ya chuo cha RUCCO, Said Mohamed mara baada ya kutwaa ubingwa wa mkoa wa mashindano ya Safari Pool Higher Learning...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI HAPA PICHA ZA UZINDUZI WA UMOJA WA WAFANYAKAZI WA MAHOTELI MWANZA.

Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula (kulia) akipokea katiba ya Umoja wa Wafanyakazi na Wamiliki wa Mahoteli mkoa wa Mwanza kutoka kwa Mwenyekiti wa Umoja huo Mr. Dharmesh Talsania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHICHI MAWE AJIFUA KUMKABILI MTHAILAND APRIL 19 NA MOHAMED MATUMLA MEI 10 PTA...

Kiongozi wa Lazima Ukae GYM Gulamu Kassim kushoto akipambana na bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi hiyo iliyopi Kinondoni Dar es salaam Miyeyusho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUGHULI ZA USAFI ZAWAUMBUA WENYE MADANGURO NA GESTI BUBU STENDI YA BASI...

Mstahiki Meya wa Jiji laMwanza Stanslaus Mabula (kulia) akitoa maelekezo na amri ya kukusanya magodoro yaliyokuwa yamehifadhiwa kwenye baadhi ya majengo ya chakula kwa wasafiri katika kituo cha Stendi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAN CITY YAJIPANGA KUTOA BURUDANI YA KIPEKEE KWA WATANZANIA PASAKA

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la FAN CITY Bw. Hasan Rizvi akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mashine za michezo mbali mbali itakayotolewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMESHAWAHI KULIWA KARATA TATU?

 Siku moja nilisimama hapo kwa interest ya kujua kinachoendelea nikajagundua ni wizi mtupu na ushirikina pia kwani muda wote ni udi ubani,baadaye nikatoka pembeni nikauliza vijana wauza karanga hapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULINZI WAIMARISHWA SIKUKUU YA PASAKA MWANZA.

KAMANDA wa Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza Valentino Mlowola akizungumza na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari jijini hapa (hawapo pichani), kuelezea jinsi jeshi lake lilivyo jipanga kuhakikisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBU CLUB JEMBE NI ZAIDI YA UTALII MWANZA

Samaki fresh toka ziwa Victoria wakuchoma, wakubanika, wakukaanga, na vyakula vya kila aina lipate jibu ndani  ya kiota kipya cha kitalii cha gharama nafuu mpaka ushangae Jembe ni Jembe aka Skylight...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU WAKIMBIA KITUO KWA KUKOSA MALAZI MARA DAADA...

 HABARI KAMILI NA SAUTI VUTA SUBIRA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEUSI & SHETA WALIVYO CHANGAMSHA WAPENZI WA BURUDANI CLUB JEMBE MWANZA USIKU...

WEUSI:- Joh Makini (L) na G. Nako (R) wakisanukisha at Jembe Beach Resort Malimbe Mwanza usiku wa kuikaribisha sikukuu ya Pasaka ambapo marafiki walijumuika hapa kushangweka. Burudani itaendelea leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALPHOCE FELIX NA JACKLINE SAKILU WASHINDI WA TIGO NGORONGORO MARATHON

Kaimu Mhifadhi wa Mbuga ya Ngorongoro, Bw. Amio Amio ambaye aliyemwakilisha mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Tigo Ngorongoro zilizofanyika jana Aprili 19, 2014 kuanzia Mbuga ya Ngorongoro na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI YA WATU 20 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI MKOANI SIMIYU.

TAARIFA za awali kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa Watu zaidi ya 20 wamefariki dunia papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Luhuye lililokuwa likitokea Sirari Mkoani Mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAVID MOYES ATIMULIWA NA MANCHESTER U.

Mkufunzi mkuu na meneja wa klabu ya Manchester United David Moyes ametimuliwa.David Moyes amefutwa kazi baada ya kushikilia usukuni wa klabu hiyo kwa miezi kumi tu.Moyes, mwenye umri wa miaka 50,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA KAMPENI YA KUTOKOMEZA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI KWA MAMA...

Afisa Uhusiano wa Tume ya Kikriso ya Huduma za Jamii (CSSC) Renatus Sona (katikati) akiwasilisha taarifa ya Uzinduzi wa kampeni maalum ya kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUUMINI AMLILIA GURUMO, DOUBLE M SOUND YAFUFUKA.

Muumini akiwa kwenye mahojiano na mtangazaji wa Radio Kwizera Seif Omary Upupu. Kocha wa dunia Mwijuma Muamini akiwa amevua nguo na kubaki na bukta baada ya wazimu kumpada wakati akiimba wimbo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

H. BABA ATEMBELEA NYUMBANI KWAO MAREHEMU JAMES DANDU.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUZUNI KUBWA YATAWALA FAMILIA YA METRO FM 96.4 MWANZA.

Simanzi kubwa imewakumba watangazaji, wanahabari na wasikilizaji wa kituo cha radio Metro Fm ya jijini Mwanza mara baada ya kuondokewa na mmoja kati ya mfanyakazi mwenzao  aliyetambulika kwa jina la DJ...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAITE JUMA AENDELEZA UBABE CHALINZE JUMA BIGLEE AMCHAKAZA JACK SIMELA.

Bondia Juma Biglee kulia akishambulia kwa makonde na Jack Simela wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema inn chalinze mjini mkoa wa pwani Biglee alishinda kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IDANI YA WALIKUFA AJALI BASI LA LUHUYE YAONGEZEKA.

Dr. Derick David.IDADI ya watu waliofariki dunia kwenye ajali ya basi la kampuni ya Luhuye lililo pata ajali jana atika eneo la Masanza Kona Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu majira ya asubuhi likitokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO LA UMOJA WA ASASI ZA KIRAIA KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA KUTUNGA KATIBA.

Mwenyekiti wa Umoja Asasi za Kiraia, Bw. Irenei Kiria akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Tathimini zilizofanywa na asasi za kiraia kuhusu mwenendo wa mchakato wa...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>