Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI HIGHER LEARNING POOL DAR NA MWANZA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UDHAIFU WA USIMAMIZI WAUA ELIMU YA WATU WAZIMA NCHINI.

Udhaifu wa usimamizi waua elimu ya watu wazimaNa Augustine Mgendi - MaraELIMU ya watu wazima ni elimu ambayo hutolewa kwa watu wenye umri mkubwa, lengo la Elimu ya watu wazima ni pamoja ya kujifunza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII HAPA RATIBA YA SKYLIGHT BAND JIJINI DAR ITAKAYO HITIMISHWA NA KIDUMU NA...

BOFYA PLAY KUSIKILIZA MPANGO MZIMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IPATE PICHA YA EASTER BONANZA NDANI YA CLUB JEMBE MWANZA.

Mpango mzima wa shangwe za Easter Bonanza na Skylight Beach resort Mwanza.Motto.Le Guitar de Sololiste.Mose Kinanda.Meza ya Frendz.Sam Mapenzi akituzwa na shabiki wake. Dj Frank na meza yake.Wadau wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSPF YAKABIDHI COMPUTER 10 KUTATUA KERO ZA UKOSEFU WA VIFAA VYA TAALUMA CHUO...

Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya jamii wa PSPF Adam Mayingu akizungumza na wahitimu wa Stashahada ya ualimu katika chuo cha ualimu Butimba (TTC) kilichopo mkoani Mwanza mkurugenzi huyo vilevile...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMAMOSI HII MWANZA NDANI YA JEMBE BEACH.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOE MAKINI KUPAMBA SHINDANO: TIMU ZA POOL VYUO VYA MWANZA WAKABIDHIWA JEZI NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUGANDO MABINGWA WA SAFARI POOL 2014 MWANZA.

Wachezaji wa timu ya Chuo cha Bugando wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa kukabidhiwa zawadi fedha taslimu Shilingi 500,000/= mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali zamashindano ya Safari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASIA IDAROUS AWIKA NA MAVAZI YA UBUNIFU NCHINI NIGERIA

Asia Idarous akiwa na vazi maalum alilolibuni ambalo lilitia fola kwenye  onyesho hilo @ Sheraton Hotel Abuja Nigeria.Keki ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, iliyoandaliwa na watanzania, Abuja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIJI LA MWANZA NA MANISPAA ILEMELA KUNGANA OPERESHENI SAFISHA JIJI NA ONDOA...

HALMASHAURIya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela kushirikiana kwa pamoja kuendesha zoezi la operesheni safisha Jiji na Manispa ya Ilemela ya kuwaondoa wafanyabiashara wadogo “machinga na mamalishe”...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARDHI MABINGWA SAFARI POOL DAR.

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akimkabidhi nahodha wa timu ya Chuo cha Ardhi, Abubakari Hamidu fedha taslimu Shilingi 500,000/= mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WATATU WAPOTEZA MAISHA WAKIOGELEA DAR!

Daria Mabilo ambaye ni Bibi wa Marehemu, Eva Mwakatobe akifajiwa  na ndugu zake nyumbani kwao Kijitonyama Dar es Salaam jana, Eva ni mmoja wa watoto watatu walifariki Dunia wakati wakisherekea siku ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA WHATSAPP, FACEBOOK NA TWITTER BURE KUPITIA VIFURUSHI VYA...

Meneja Masoko wa Airtel akionyesha kipeperushi wakati wa uzinduzi wa huduma mpya itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata whatsapp, Facebook na Twitter bure kupitia Vifurushi vya yatosha.Airtel...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUGE MPINA NA KIRIGINI WAGAWA PIKIPIKI 25 ZENYE THAMANI YA MIL 55...

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina akikabithi fotokopi za kadi za pikipiki 25 na funguo za pikipiki pikipiki hizo kwa Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Hilda Lucas...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI MASHINE ZA EFDs.

Meneja wa TRA mkoa wa Mwanza akifungua Semina ya na Waandishi wa habari juu ya ufafanuzi wa Mashine za Kielektroniki zinazotumika kukusanyia Kodi ya Mapato nchini iliyofanyika jana jijini Mwanza.Afisa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSPF WASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA DUNIANI KWA...

Ofisa muendeshaji wa Mfukowa pesheni wa mashirika ya umma PSPF, Bw, Hadji Jamadary kushoto akimwelekeza kujaza fomu Shabani Maganga wakati wa mahadhimisho ya siku ya usalama na afya kazini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA OFISI KWA SHULE YA MSINGI CHAU CHALINZE.

Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani  William Mrocky akikabithi kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Chau Bwana Elvin Msangi msaada wa viti na meza kwaajili ya ofisi ya walimu wa shule ya msingi ya chau...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI NA WADAU WA JIJI LA MWANZA WAANZA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA...

HALMASHAURI pamoja na wadau toka mashirika na taasisi za kutetea na kulinda haki za watoto jijini Mwanza wameanza rasmi vikao vya maandalizi ya kuadhimisha sherehe za siku ya mtoto wa Afrika...

View Article

CRISTIANO RONALDO AVUNJA REKODI YA LIONEL MESSI.

NYOTA wa Real Madrid ya Uhispania Cristiano Ronaldo amevunja rekodi ya Lionel Messi ya ufungaji mabao mengi zaidi katika ligi ya mabingwa barani Uropa alipoifungia timu yake mabao mawili na kuisaidia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOSE CHAMELEONE KESHO KUSHEREHEKEA MEI MOSI VILLA PARK MWANZA.

SIKILIZA MPANGO MZIMA.MSANII Maarufu kutoka nchini Uganda Dr. Jose Chameleone, anaye Sherehekea siku yake ya kuzaliwa leo tarehe APRIL 30, anatarajia kushuka Mikoa ya Kanda ya Ziwa kutoa burudani ya...

View Article
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>