FAINALI ZA SAFARI HIGHER LEARNING POOL COMPETITION KUFANYIKA MEI 3 NA 4,2014...
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) akimkabidhi Katibu wa Chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga Kikombe atakacho pewa mshindi wa kwanza wa fainali za Safari Higher Learning Pool...
View ArticleCSSC YATOA MSAADA WA MASHINE YA KISASA YA UPIMAJI MAAMBUKIZI UKIMWI NA...
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Injinia Evarist Ndikilo akikata utepe kuzindua Mashine ya Kisasa ya kielektroniki yenye jina la kitaalamu Frocytometer ambayo imetolewa kama msaada na Tume ya Kikristo ya Huduma...
View ArticleAJALI YA MAGARI MATANO KWA MPIGO.
Alfajiri hii ajali imetokea ikikusisha magari matano katika eneo la Miseyu baada ya Mikese kuelekea mpakani mwa Pwani na Morogoro. Chanzo cha ajali hiyo kinatajwa kuwa ni dereva wa roli la Nyanya...
View ArticleASASI TANO KANDA YA ZIWA ZINAZOPATA RUZUKU TOKA MFUKO WA MSAADA WA KISHERIA...
Mkurugenzi wa Shirika la KIVULINI Bw Ramadhan Masele akifunga ziara ya kimafunzo ya siku tatu kwa kutoa shukrani kwa maafisa toka mashirika matano ya mikoa ya kanda ya ziwa (hawapopichani) pamoja na...
View ArticleJOSE CHAMELEONE APAGAWISHA MASHABIKI MWANZA NAYE APAGAWA AMWAGAFEDHA KWAO
Ni msanii Dr. Jose Chameleone kutoka nchini Uganda akiwa na mashabiki wake wakishow love na G. Sengo Blog katika usiku wa kuamkia leo ndani ya Villa Park Resort jijini Mwanza, ambapo msanii huyo...
View ArticleJAPO KIDUCHU PICHA ZA MEI MOSI MWANZA NA SENGEREMA.
Askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani Sengerema akiongoza maandamano ya maadhimishio ya siku ya wafanyakazi duniani Mei mosi mjini humo.Wafanyakazi wa sekta wa mashirika ya serikali, taasisi...
View ArticleDC BUNDA AZUA MASHINDANO YA ESTHER BULAYA 2014 KWA SABABU ZA KISIASA.
Kunyanyua vipaji ni pamoja na kutoa vifaa kwa vijana washiriki. Jeh! juhudi hizi za msingi za Mhe. Esther Bulaya tunaziruhusu kuteketea kwa matakwa ya wachache wenye ubinafsi? Na Augustine...
View ArticleWASICHANA 30 JIJINI MWANZA WAPATIWA MAFUNZO YA SIKU TANO KUHUSU ELIMU YA...
Mkurugenzi wa Shiriki la KIVULINI Bw Ramadhan Masele akisisitiza jambo wakati akifunga mafunzo maalum kwa wasichana 30 walio na umri kati ya miaka 18 mpaka 25 kutoka wilaya ya Ilemela na Nyamagana za...
View ArticleKINANA AUNGURUMA PEMBA.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika jioni ya leo...
View ArticleWAANDISHI WAASWA KUSIMAMIA KWELI.
Mgeni rasmi Jaji Warioba akiwahutubia maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari kwenye ukumbi wa mbayuwayu (AICC)Mta mada juu ya ushuhuda Edwin Soko akiwasilisha mada katika...
View ArticleDIAMOND ANYAKUA TUZO 7 ZA KILIMANJARO.
Diamond Platnum amedhihirisha kuwa yeye ni msanii mkali wa levo za kimataifa mara baada ya kuchukuwa tuzo saba katika Tuzo za Kilimanjaro 2014 (KTMA).Diamond kanyakuwa tuzo zifuatazo:-Msanii bora wa...
View ArticleRUCCO IRINGA MABINGWA WA TAIFA SAFARI POOL 2014
Afisa Tarafa wa Moshi mjini, William Issa(wa pili kushoto) akimkabidhi kikombe Nahodha wa timu ya Chuo cha RUCCO cha Iringa, Said Mohamed mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za kitaifa za...
View ArticleAIRTER YAZINDUZ DUKA LA KISASA MLIMANI CITY.
Afisa mtendaji Mkuu Airtel Africa Christophe Soulet akikata utepe kuzindua duka la Airtel lililopo mlimani city jijini Dar es Saalam.wakishuhidia, wapili ni Andre Beyers Afisa mkuu wa masoko Airtel...
View ArticleKIGWANGALA AUTAFAKARI URAIS 2015.
Kigwangala Atafakari Urais 2015 Mbunge wa jimbo la Nzega Mkoani Tabora kupitia CCM, Hamis Kigwangala, ametanabaisha kuwa anatafakari kama anaweza kugombea Urais kwenye uchaguzi mkuu ujao kupitia chama...
View ArticleFIFA YAMALIZANA NA NYAMAGANA SASA ZOEZI KUANZA MAPEMA MWEZI JUNI.
Na ALBERT G. SENGOSHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), kwa mara nyingine tena limetuma mtaalamu wake jijini Mwanza IAN MC LEMENTS, ili kuhakiki na hatimaye kukusanya ripoti ya mwisho kwa Uwanja wa...
View ArticleJERNIFER YESE AJISHINDIA LUNINGA SHINDANO LA KUNYWA KUSANYA NA USHINDE NA...
NA ALBERT G. SENGO; MWANZAHatimaye mshindi wa kwanza wa Luninga kupitia shindano la Kunywa Kusanya na Ushinde linaloendeshwa na kampuni ya vinywaji baridi nchini Coca Cola amepatikana hii leo jijini...
View ArticleHABARI PICHA: SSRA WAWAPA SOMO WAFANYAKAZI WATARAJIWA, JUU YA UMUHIMU WA...
BW. LIBERATUS CHONYA AMBAYE NI AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA SSRA, AKITOA MAELEZO YA AWALI KABLA YA SEMINA KUANZA.BWANA WILLFRED PASCHAL AKIULIZA SWALI KATIKA SEMINA HIYO, LAWAMA ZAKE AKIZIELEKEZA KWA...
View ArticleSHIRIKA LA NELICO NA MABARAZA YA WATOTO WILAYA YA GEITA WAFANYA ZIARA YA...
Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana la KIVULINI akitoa historia ya shirika la KIVULINI kwa wawakilishi wa mabaraza ya watoto mara baada ya kutembelea ofisi za shirika hilo...
View Article