Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA LUKU OFA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY.

Meneja Uendesha kitengo cha Airtel Money Asupya Naligingwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata LUKU Bonus kupitia huduma ya Airtel Money.Airtel Yazindua LUKU OFA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOMU LALIPUKA LAJERUHI MHUDUMU KANISA LA KKKT MWANZA.

Picha ya kanisa kutoka maktaba/ Picha kamili kuwajia hivi punde.MHUDUMU wa nyumba ya kupumzikia wageni wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria, jijijini hapa, amejeruhiwa vibaya baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MULT CHOICE TANZANIA(DSTV) WAZINDUA KING'AMUZI KIPYA NA CHA KISASA AINA YA EX

Uzinduzi wa king'amuzi chao kipya aina ya explorer.Wadau na wateja wa DSTV wakijadiliana jambo na Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo wakati wa uzinduzi wa king'amuzi chao kipya aina ya explorer.Wageni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk. KIGWANGALA AITAKA TAMISEMI KUWASHIRIKISHA WANANCHI KUBAINI VYANZO VYA...

Mwandishi wetu, DodomaMwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dk Hamis Kigwangala amezitaka Sekretarieti za mikoa na halmashauri zote nchini kuhakikisha kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI MWANZA WATOA KILIO CHAO KWA SSRA.

Bibi Sarah Kibonde Msika, akitoa majibu ya ziada kwa washiriki kwenye Chuo cha TIA.Askari Polisi wa Mwanza wakifatilia Semina hiyo kwa Umakini Mkubwa.Askari Polisi akisiliza kwa makini mtoa mada.Koplo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHABUSU AVUA NGUO NA KUNG'ANG'ANIA BENDERA YA TAIFA ILI KESI YAKE IPATE...

Askari polisi wakiwalinda mahabusu wawili kati ya sita wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, wakiwa wameng'ang'ania mlingoti wa Bendera ya Taifa huku mnoja akiwa mtupu mara baada ya kutoroka toka kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII NSSF LATOA SEMINA KWA WACHIMBAJI WADOGO...

Naibu waziri wa wizara ya Nishati na Madini nchini Steven Masele ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi akizindua Mpango maalum na kufungua Semina kwa wachimbaji wadogo wa madini iliyofanyika katika ukumbi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA WASANII NA WADAU WOTE WA MUZIKI HAPA BONGO

TATIZO = FURSAUKIIJUA hiyo hesabu vizuri maisha kwako yatakuwa bam bam.Wasanii wengi kwa kipindi kirefu tumekuwa tunalalamika kuwa tunabaniwa kwenye MEDIA bila kuelewa kwa kifupi tu ukweli wa mambo.Kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KKKT WATOA TAMKO MLIPUKO WA BOMU KANISA LA MWANZA.

KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria (DMZV), limeitaka Serikali kuhakikisha inawatafuta watu waliohusika na tukio la bomu lililolipuka kanisani hapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNARA WA KUPINGA MAUAJI YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI WAZINDULIWA WILAYANI...

Rais wa Shirika linalohudumia watu wenye ulemavu wa ngozi duniani liitwalo Under the Same Sun, Peter Ash (wa pili kushoto) pamoja na mratibu wa shirika hilo nchini Vick Ntetema, wakiwa na Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI IGUNGA MKOANI TABORA JANA...

 Pichani Kulia ni  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora,Ndugu Hassani Wakasubi akimpokea mgeni wake,Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana na Ujumbe wake alipowasili jioni ya leo katika kijiji cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI KATIKA PICHA, SSRA WAENDELEA NA SEMINA MWANZA, SAFARI HII ILIKUWA NI...

Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mawasilano wa SSRA), Sarah Kibonde Msika, katibu wa TUCTA Taifa,  Nicolaus Mgaya Mwenyekiti wa TUCTA (M) Mwanza Yusuph Simbaulanga, na Katibu wa TUCTA Mkoa wa Mwanza,  Evarist...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KHADIJA KOPA NA ABDUL MISAMBANO WATUA MWANZA ASUBUHI HII KWAAJILI YA SHOW YA...

SIKIA MPANGO MZIMA LEO PALE BUZURUGA PLAZA MWANZA. Malkia wa Taarab nchini Tanzania Khadija Omar Kopa akiwasili katika uwanja wa ndege wa jijini Mwanza asubuhi ya leo kwaajili ya kutoa burudani kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBONI SHOW YATIA UTAMU ZAIDI.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOUCH FOUNDATION KUENDELEA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA TANZANIA

Rais wa Touch Foundation,  Bw. Lowell Bryan akiwa  katika picha ya pamoja na  Balozi Tuvako  Manongi,  Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania  Umoja wa Mataifa na Mke wa Balozi, Bibi Upendo Manongi wakati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STEVE NYERERE ATEULIWA KUONGOZA KIKOSI CHA WASANII KUTANGAZA AMANI NCHI NZIMA.

 Mwigizaji na Mchekeshaji ambaye ni Mwenyekiti wa Kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mengere 'Steve Nyerere' (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHENJI YA RADA YATUMIKA KUNUNUA VITABU VISIVYO NA UBORA.

Chenji ya Rada Yatumika Kununua Vitabu Visivyo na UboraNa Mwandishi maalumu - HakiElimu. UCHUNGUZI kuhusiana na vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada na kusambazwa mashuleni nchini Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAA TAYARI KWAAJILI YA MAZINGAOMBWE.

Say's G. Sengo

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FEDHA FEKI ZACHANWA LIVE NJIA PANDA CLOUDS FM .

Kama ulikuwa makini kusikiliza kipindi cha njia panda hii leo kilichokuwa kikiongozwa na Dr. Isaac Maro na kusikiliza kisa na mkasa uliomkuta msimuliaji aliyepachikwa jina la bandia 'Baraka' (Kwa ajili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASISITIZA UWEZESHWAJI WA NCHI MASKINI

Balozi Tuvako Manongi,  Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,  akijiandaa kuwasilisha mchango na maoni ya Tanzania  wakati wa  Mkutano wa kumi na Moja wa Kikundi  Kazi cha Baraza...

View Article
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>