Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12428

AJALI MBAYA YAWAKUMBA NEW HABARI MWANZA WAKATI WAKIMKWEPA TEMBO: GARI NYANG'ANYANG'A WADAU WASALIMIKA

$
0
0
Ajali mbaya imetokea juzi usiku katika moja ya maeneo mto Rubana wilayani Bunda kuingia mbuga ya Serengeti ikihusisha watu wanne baadhi yao wakiwa ni waandishi wa Habari. 

Napata fursa yakufanya mahojiano na mmoja wa majeruhi katika ajali hiyo Fredrick Katulanda mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania ambaye alisema kuwa ajali hiyo ilitokana na kumkwepa tembo aliyejitokeza ghafla akivuka barabara. . ZAIDI BOFYA PLAY KUSIKILIZA.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>