Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRAZUKA NDIYO MPANGO MZIMA

Tuna (neno):- Brazuka kwenda 15678 Ushinde zawadi mbalimbali ikiwemo tiketi kwenda Brazil kwa gharama za sms za kawaida.Kama ni T-Shits nazungumzia jezi basi 'utashain' kama mastaa wako wa PB Babra...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza Wilaya ya Ilemela, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za Kilele cha Siku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZIGO HuoooO KATIKATI YA JIJI LA MIAMBA.

Msaada kwenye tuta. Plate namba inasomekaje wadau?Mdogo mdogo...Mzigo mwingine huo nyuma ya bata.....Bata mbele ya bata na bata nyuma ya bata! Jeh unaona bata wangapi?Ile ile kwenye kona...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASILIMIA 25 TU YA KAYA NCHINI HUTUMIA VYOO BORA VYA KISASA

Waziri wa Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid.WAZIRI  wa Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid (MB) amesema kwamba Wizara yake ilifanya utafiti katika Halmashauri 112 nchini mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA COCACOLA MWANZA KATIKA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Mwanza na wa Kiwada cha Cocacola, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JULIAS KISARAWE KUMVAA MOROBEST JUN 7

Julias Kisarawe na Morobest wakinyanyuliwa mikono juu kuashiria wamekubalika kuzipiga baada ya kupima na kwenda sawaBondia Julias Kisarawe kesho anategemea kupanda ulingoni kuzipiga na Hassan Kiwale...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUZO NYINGINE KWA TBL KUPITIA NDOVU SPECIAL MALT

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa (Ndovu High International Quality Trophy)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALICHOSEMA KOMBA LEO KWENYE PB MARA BAADA YA PICHA ZA KUCHAFULIWA MITANDAONI.

Imekuwa ni siku ngumu leo kwa Mhe. Komba, hali iliyosababisha kiongozi huyo ambaye ni mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi kushindwa kabisa hii leo kuhudhuria vikao mbalimbali vya Bunge la Jamhuri ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI MBAYA YAWAKUMBA NEW HABARI MWANZA WAKATI WAKIMKWEPA TEMBO: GARI...

Ajali mbaya imetokea juzi usiku katika moja ya maeneo mto Rubana wilayani Bunda kuingia mbuga ya Serengeti ikihusisha watu wanne baadhi yao wakiwa ni waandishi wa Habari. Napata fursa yakufanya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TGNP YAFANYA MJADALA WA WAZI JUU YA UBORESHAJI NA UWAJIBIKAJI

Moses Iriria, kutoka ANSAF (Mtafiti) akiwasilisha mada katika mjadala huo.Mkurugenzi Mtendaji wa Sikika, Irenei Kiria akiwasilisha mada wa washiriki.Aliyekuwa Mkurugenzi wa TGNP Matandao, Bi. Usu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA HARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI NA ANANDE NNKO.

Kuwasili kwa bwana harusi katika viwanja vya kanisa la Kilinga maarufu kama kwa mchungaji Babu, Meru mkoani Arusha.  Wageni mbalimbali waliwasili kwenye tukio akiwemo Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Qatar KWENDA KORTIN KUHUSU 2022.

Qatar yatafakari kwenda Mahakamani kutetea uwenyeji wa Kombe la dunia QATAR 2022Maafisa wa Qatar wanaaminika kupanga mikakati madhubuti ya kukabiliana na tishio la kupokonywa uenyeji wa kombe la dunia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akimkaribisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzani, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUONEKANO WA LEO KITUO CHA MWENGE JIJINI DAR KUPISHA UPANUZI WA BARABARA.

Tofauti na awali hapa zilikuwa zikionekana sura za mabasi yaelekeayo pande mbalimbali jijini Dar yakiwa katika mistari.Chini palikuwa na sakafu ya vitofa lakini kwa sasa vimeenjuliwa na kukusanywa kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel YAWEZESHA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WA AFYA KIJIJI CHA MBOLA TABORA.

Mfanyakazi wa huduma za afya bi Amina Wakasuvi akitoa huduma kwa moja ya familia katika kijiji cha mbola mkoani Tabora  ambapo Airtel chini ya mradi wa millennium village imewawezesha wafanyakazi hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VURUGU ZA WAMACHINGA MWANZA MABOMU YA MACHOZI YARINDIMA ZAIDI YA SAA 3,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI MBAYA POLISI AUAWA NA WEGINE KUJERUHIWA KATIKA UVAMIZI WA KITUO CHA...

**TAHADHARI**.!!!...TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI ZA KUTISHA...!!!Mnamo 11/06/14 majira ya 0100hrs huko kituo kidogo cha Kimanzichana Pwani, watu wasiojulikana waliojifanya kuwa ni raia wema walivamia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMAMOSI HII FLAVANITE WITH MO MUSIC.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFLEWO KUFANYA MKESHA KWA AJILI YA KUIOMBEA TANZANIA NA AFRIKA

Mchungaji Abel Orgenes (wa kwanza kulia) wa Kanisa la International Evangelism akiongea machache na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitangaza mkesha utakaofanywa na Huduma ya AFLEWO ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA NGUMI YA MEYA CUP KUANZA IJUMAA CCM KATA 15 TEMEKE

Kocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini Habibu Kinyogoli akifafanua jambo wakati wa upimaji uzito kwa mabondia.Bondia Amir Shekhe akipima uzito kabla ya kushiliki mashindano ya meya cup yatakayoanza...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>