Bondia chipukizi, Abdalah Pazi(Dullah Mbabe) akimshambulua mpinzani wake, Maneno Osward(Mtambo wa Gongo) wakati wa pambano lisilo la ubinga lililofanyika katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Abdalah Pazi alishinda kwa K.O.