MWANZA NA VIVUTIO VYAKE...!!
Wakati amsha amsha za kuelekea Serengeti Fiesta 2014 zikiendelea jijini Mwanza, mbali na usongo ulionao kuishuhudia burudani kwa stage la FIESTA, haya ni moja kati ya ma picha ya kutambulisha baadhi ya...
View ArticleUNAAMBIWA HIVIII:::UKITAKA RAHA NA BURUDANI YA MUZIKI MZURI BASI IPO SKYLIGHT...
Divas wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mpera(wa pili toka kushoto) wakilianzisha Burudani kwa nguvu zoteee ndani ya Thai Village masaki.Kila ijumaa Bendi yako mahiri na...
View ArticleHUYU NDIYE SUPER NYOTA DIVAZ KWA MKOA WA MWANZA.
MWANZA hatimae wametoa Super Nyota wao ambaye amepatikana leo August 07 kwenye viwanja vya Jembe ni Jembe ambapo mshindi aliyeibuka ni Honeya ambae kwa aina yake ya ushiriki usingeweza kuamini kama...
View ArticleKUNDI LA 'BAD NUMBERS' NDIYO MABINGWA WA SERENGETI DANCE LA FIESTA 2014 MKOA...
Mc Lugha Kali (aliyeketi) akiwatambulisha washindi wa shindano la Dance la Fiesta kwa mkoa wa Mwanza ambao ni Kundi la Bad Numbers (wenye red) lenye maskani yake Igoma jijini Mwanza ambapo kundi hilo...
View ArticlePICHA ZA BAADHI YA WASANII WALIOTUA MWANZA TAYARI KWA SERENGETI FIESTA 2014
PICHA ZAIDI ZAJA NA MAELEZO YAKE.
View ArticleBAR YA AR PUB WATAWAZWA KUWA MABINGWA WA SERENGETI FIESTA SOKA BONANZA 2014
PICHA ZAIDI NA MAELEZO YAJA VUTA SUBIRA....
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL MGENI RASMI MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Waziri wa Kilimo Maendeleo ya chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza, na baadhi ya viongozi wa mkoa wa...
View ArticleRPC NJOMBE APATA AJALI NA MLINZI WAKE AFARIKI DUNIA
Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe ASP Fulgence NgonyaniNa James Festo, Njombe.KAMANDA wa polisi Mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani pamoja na dereva wake Nuaka Seme wamelazwa katika hispitari ya...
View ArticleTAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 LAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI MWANZA
Baada ya kazi ya kuwaburudisha mashabiki wake,Mara Wema Sepetu a.k.a shemeji nae akajiunga kumpa sapoti mpenzi wake jukwaani.Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakifuatilia...
View ArticlePSPF YAFUNGA NANENANE LINDI KWA KISHINDO
Baadhi ya wananchi wa mkoa wa Lindi wakiwa katika banda laMfuko wa PENSHENI WA PSPF wakishuhudia burudai kutoka kwa Mjomba Band.Afisa Masoko mfuko wa PENSHENI PSPF, Rahma Ngassa akimpatia Maelekezo ya...
View ArticleSIMBA WATIMUA KOCHA MZUNGU.
SIMBA wamemtimua Kocha mkuu wao, Mcroatia Zdravko Logarusic, ikiwa ni baada ya juzi kufugwa mabao 3-0 na Zesco ya Zambia katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa, Dar es...
View ArticlePAZI AMTANDIKA MTAMBO WA GONGO KWA K.O.
Bondia chipukizi, Abdalah Pazi(Dullah Mbabe) akimshambulua mpinzani wake, Maneno Osward(Mtambo wa Gongo) wakati wa pambano lisilo la ubinga lililofanyika katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala...
View ArticleTEMEKE YAANZA AIRTEL RISING STARS KWA KISHINDO.
Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Temeke, Omary Rajabu (kushoto) akiwania mpira na beki wa timu ya vijana ya Mbeya Philipo Edson katika mchezo wa mashindano ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa kwenye...
View ArticleMWANZA KUWA CARLIFORNIA YA TANZANIA NA SENTA YA MIKUTANO NA BIASHARA KWA NCHI...
Afisa Uhusiano wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Joseph Mlinzi akitambulisha viongozi na wageni kwenye kikao cha Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue jijini hapa.Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa...
View ArticlePICHA ZA LINAH AKISAMBAZA UPENDO MWANZA
Linah akiwa bustani ya Rock Beach usawa wa jiwe maarufu la Bismark Rock jijini Mwanza.Aliambatana na wanyange wa kinyang'anyiro cha Redds miss Mwanza kilichomalizika mwishoni mwa wiki.Engo nyingine at...
View ArticlePOLISI SENGEREMA WAKAMATA ZAIDI YA TANI 2 ZA SAMAKI WALOVULIWA KIHARAMIA.
Ni samaki zaidi ya tani 2 wasiokuwa na viwango halali vya kuvuliwa wamekamatwa leo asubuhi katika mwalo wa kijiji cha Katunguru wilayani Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya zoezi la kuwakamata wavuvi...
View ArticleMUIGIZAJI NGULI ROBIN WILLIAMS AIAGA DUIA
Simanzi limetanda nchini Marekani kufuatia kifo cha muigizaji Nguli Robbin Williams. Salamu za rambi rambi zimeendelea kumiminika kufuatia kifo cha Williams, ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa...
View Article