AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MITINDO KWA NJIA YA SIMU KWA KUSHIRIKIANA NA...
Mbunifu nguli wa mitindo Afrika, Mustafa Hassanali akizungumza na wageni waalikwa kuhusiana na huduma mpya ya kuwa karibu naye kwa mashabiki wa mitindo kupata taarifa zake kupitia simu zao za mkononi...
View ArticlePICHA ZA SAFARI KUELEKEA BUKOBA KUSHUHUDIA MUVI KALI YA SERENGETI FIESTA 2014
Ni barabara kutoka Sengerema .....hadi mwisho wa barabara pale panapo nihusu zaidi mjini Bukoba. Ofisi za Mizani.Mwingine anashuka mwingine anapanda.Geita moja safari kuelekea Bukobaaaaa!!G.Sengo...
View ArticlePICHA ZA WASANII WAKITUA SASA HIVI MJINI BUKOBA KWAAJILI YA SERENGETI FIESTA...
Pipa.Pipa likatua ardhini....Msanii OMMY DIMPOZ na wenzake wakishuka kwenye Ndege ya shirika la Precision Air leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba tayari kwa kukamua vilivyo katika...
View ArticleMH. LOWASSA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada wakati alipo mtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na...
View ArticleSERENGETI FIESTA TEAM ILIPOTINGA RADIO KASIBANTE 88.5 BUKOBA KUZUNGUMZIA...
Dj Slay akiendesha mahojiano na sehemu ya wasanii watakaopanda katika jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 ijumaa ya leo katika uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini. Mr Blue (kulia) akishea kitu na Cristian Bella...
View ArticleKIGWANGALA KUTANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS 2015 KWA STAILI YA PEKEE
Kufuatia habari zilizozagaa kwenye duru mbalimbali za kisiasa, vyumba vya habari na mitandao ya kijamii, habari zinasema kuwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za...
View ArticleFAINALI ZA MASHINDANO YA NGOMA ZA ASILI ZINAZODHAMINIWA NA BIA YA BALIMI
Meneja wa Bia ya Balimi Extra, Judith Bebwa (kulia), akiwa na zawadi ya Kombe la mshindi wa kwanza (bingwa) na Meneja matukio wa Kampuni ya TBL, Erick Mwayela (kushoto), akiwa ameshika medali za...
View ArticleBUKOBA NI SHeeeDER KWA BURUDANI YA SERENGETI FIESTA 2014.
PICHA LITAENDELEA NA MAELEZO YAKE.........
View ArticleSUMATRA MKO WAPI?ABIRIA HAWA WAMETESEKA ZAIDI YA MASAA 6 BILA MSAADA
Abiria wakwama njiani zaidi ya masaa 6 abiria ambao walikuwa wanaelekea mwanza na gari la princes shabaha wamezidi teseka huku hawajui hatima yao ya safari Gari hilo lenyenamba za usajili T102 AVX...
View ArticleKANISA LA YESU CHRISTO LA WATAKATIFU WA SIKU ZA MWISHO WAFANYA UKARABATI...
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakipaka rangi bweni la kituo cha watoto yatima cha yatima group trust fund kilichopo mbagala chamanzi ambapo waumini hawo...
View ArticlePICHA ZA MCHANA HUU KUELEKEA SERENGETI FIESTA 2014 KAHAMA.
Aksante kwa ushirikiano wako Kahama, langoni ni ulinzi asilimia 100.Taswira toka moja ya milango uwanja wa Taifa Kahama.Mapema kabisa baa mbalimbali zimejipanga kwaajili ya wateja kujipatia chakula na...
View ArticleTABORA, KAGERA, ARUSHA, KILIMANJARO NA ILALAZAPATA MABINGWA SAFARI POOL.
Diwani wa Kata ya Vingunguti, Asaa Simba(kulia) akimkabidhi nahodha wa klabu ya Mashujaa, Said Miraji(Babu Jee) pesa taslimu Shilingi 800,000/= mara baada ya uibuka mabingwa katika fainali za...
View ArticlePICHA KALI ZA USIKU WA AUG 17, KWA MARA YA KWANZA SERENGETI FIESTA KAHAMA
Stage lilivamiwa na wasanii wote ili kuimba kwa pamoja.The place uwanja wa Taifa Kahama ilishona watu wa Kahama na wageni.Moja kati ya supa nyota wa mwaka jana akifanya yake FiestaniNey wa Mitego na...
View ArticleJAJI LEWIS MAKAME AFARIKI DUNIA
Taarifa iliyoifikia hivi punde, inaeleza kuwa aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini (NEC) Jaji Mstaafu Lewis Makame amefariki dunia jioni hii katika Hospital ya AMI Trauma Centre, Masaki...
View ArticleKOCHA SUPER D AENDEREA KUMWAGA SUMU KWA VIJANA WA KAMBI YA ILALA.
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwaelekeza mabondia jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'upcut'wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya...
View ArticleWAZIRI CHIZA ACHARUKIA WACHAKACHUAJI WA MIZANI YA PAMBA.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Injinia Christopher Chiza (katikati) akiwa ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Injinia Evarist Ndikilo (kushoto mbele) ambapo nyuma yake amechomoza Mkuu wa...
View Article