Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EBOLA YASABABISHA MECHI KUTIBUKA.

Mechi kati ya Sierra Leone na Seychelles yatibuka kutokana na hofu ya Ebola.Mechi kati ya Sierra Leone na Seychelles ya kuwania tikiti ya kushiriki katika kombe la mabingwa barani Afrika mwakani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA NA HARAKATI ZAKE ZA MABADILIKO KILA KUCHAO

Mwonekano wa engo flani ya jiji la Mwanza, Ziwa Victoria na mwambao wake.Juu kwa juu na kipande cha barabara ya Rufiji Mwanza.Uhuru road, Pamba road, Nyerere road, Kaluta road alimuradi ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIZ KITAA NA CLOUDS TV NIMEIELEWA!

Kama we ni mjanja basi huwa hukosi hiki kipindi, katikati ya wiki hii nilienjoy sana kusikiliza simulizi za muasisi wa rap za bendi nchini Tanzania Alan Mulumba Kashama (L) na Totoo Ze Bingwa (R) huku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKOA WA MWANZA WAANZA RASMI KUSAKA VIJANA U17 WATAKAO WAKILISHI MKOA KATIKA...

Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akipiga penati kuashiria uzinduzi wa Airtel Rising Stars mkoani hapa.Katibu wa Chama Cha Soka mkoa wa Mwanza MZFA Nasibu Mabrouk akizungumza na wadau wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKIKA YAKANUSHA TUHUMA ZA MADIWANI, HALMASHAURI KONDOA DODOMA

Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele ya waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERENGETI FIESTA MWANZA 2014 MPANGOMZIMA UKO HIVI.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDANI YA USIKU MMOJA FLORA SALOON AWATAMBULISHA MISS LAKE ZONE NA MISS MWANZA

Mgeni rasmi Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akiwasha mshumaa wa rangi ya pinki kuashiria kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake, katikati akishuhudiwa na Mwandaaji wa Miss Lake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA AWALI TEAM CLOUDS NDANI YA MWANZA KWAAJILI YA SERENGETI FIESTA 2014.

Baba la baba..From Left ni Milard Ayo, Sadiki na Mully B.Pichaz na washkaji behind the s...Wow.Frendz.Show love na Amplifaya Man.Sambaza upendo.Masamaki time na Mchomvu.Sambaza Upendo na Watu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAPCO YAZINDUA KILAINISHA KIPYA CHA PIKIPIKI.

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabara Tanzania, Mohamed Mpinga na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Afrika Mashariki, Macharia Irungu wakizindua vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI MSIMU WA FIESTA TIME YA KUPOKEA TRACK KALI TOKA KWA NOLESY

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELFU YAJITOKEZA KUMUAGA MWEKA HAZINA WA MANISPAA YA ILALA MAREHEMU MEDARD...

Pichani ni Watoto wa marehemu Medard Kabikile Stima ambaye alikuwa ni Mweka hazina wa Manispaa ya Ilala wakiwa wamebeba msalaba pamoja na picha kuongoza kuingiza mwili katika viwanja vya Karimjee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA SERENGETI FIESTA 2014 MWANAMZIKI LINAH APOKELEWA KWA KISHINDO JIJINI...

MAELEZO YA PICHA YAJA HIVI PUNDE, KWANI NIKO BIZE NA FIESTA MWANZA DAH.... HATARI!!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGHAMBA YALA MZINGA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAILI SERENGETI DANCE LA FIESTA NA SERENGETI SUPER NYOTA NI LEO MKOANI MWANZA.

SERENGETI DANCE LA FIESTA:Washriki lazima wawe kwenye kundi la kuanzia watu wanne mpaka nane, Na wawe na umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea, Kujiandikisha ni kuanzia jana (5/08/2014) uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA WA MANISPAA YA ILEMELA MKOANI MWANZA AWASHUSHIA RUNGU UKAWA.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza Henry Matata.MEYA wa Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza Henry Matata amewajia juu wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA ambao wamesusia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA PEPSI KOMBE LA MEYA KWA MKOA WA MWANZA WATIKISA.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza na mamia ya wahudhuriaji wa uzinduzi wa Pepsi Kombe la Meya uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza, mwishoni mwa wiki. Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANALYAKU MABINGWA WA BALIMI NGOMA MWANZA.

Mabingwa wa fainali za mashindano ya Ngoma za asili yajulikanayo kwa “Balimi Ngoma Festival 2014”ngazi ya Mkoa, mkoa wa Mwanza, kikundi cha Mwanalyaku cha Magu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI KWA NCHI...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa  Chuo cha Nelson Mandela cha jijini Arusha wakati alipowasili kwa ajili ya kufungua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERENGETI FIESTA 2014 YATEMBELEA RADIO WASHIRIKA NA WASHIKAJI VITAA VYA MWANZA

Mtangazaji wa kipindi cha Michano Time kupitia radio Passion Fm ya jijini Mwanza Philbert Kabago (kushoto) akifanya mahojiano na wadau wa Kamati ya Serengeti Fiesta 2014, Mwenyekiti wa Kamati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REFARII HOWARD WEBB ASTAAFU KUCHEZESHA SOKA.

Refarii mtajika Howard Webb ameestaafuCHANZO BBC SWAHILI.Refarii mtajika Howard Webb ameestaafu.Webb ambaye amepuliza kipenga kwa muda wa miaka 25 amestaafu baada ya kuchaguliwa kuwa afisa wa...

View Article
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>