![]() |
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza na mamia ya wahudhuriaji wa uzinduzi wa Pepsi Kombe la Meya uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza, mwishoni mwa wiki. |
![]() |
Kabla ya uzinduzi timu 22 washiriki wa mashindano hayo zilifanya paredi la utambulisho. |
![]() |
Hiki ni kiatu cha dhahabu ambacho atakitwaa mfungaji bora wa Pepsi Kombe la Meya ikiwa ni sambamba na kitita cha shilingi laki mbili. |
![]() |
Sasa ni zamu kwa timu ya Igoma Fc. |
![]() |
Mhe. Mama Hewa akisalimiana na timu ya Wanahabari, anayefuata ni diwani wa kata ya Nyamagana Bhiku Kotecha. |
![]() |
"Michezo ni furaha...tehe....teh!!!!!" |
![]() |
Isamilo Fc katika picha ya pamoja kabla ya kutinga dimbani kupambana na Mkolani Fc. |
![]() |
Mkolani Fc. |
![]() |
Katika mchezo huo Mkolani Fc waliibuka kidedea kwa kuibamiza Isamilo Fc bao 3-1. |
![]() |
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza na mamia ya wahudhuriaji wa uzinduzi wa Pepsi Kombe la Meya uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza. |
![]() |
Patashika langoni mwa Mkolani Fc. |
![]() |
Umakini wa mashabiki michuano ya Pepsi Kombe la Meya 2014. |
![]() |
Baada ya mchezo kumalizika Balozi wa Pepsi kwa wasanii Kala Jeremiah alipiga show. |
![]() |
Kala Jeremiah na hisia zake. |
![]() |
Wow... |
![]() |
Muda wa kuwapa tano mashabiki. |
![]() |
Kala Jeremiah akimtambulisha kaka yake katika game ya muziki wa kizazi kipya H. Baba. |