Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

BONDIA HAMZA MCHANJO AMKAMIA JUMA FUNDI KUMPIGA K,O MBAYA Oktoba 25

$
0
0
Bondia Hamza Mchanjo akinolewa na kocha Saidi Chaku katika GYM ya Gongolamboto Dar es salaam jana Mchanjo anajiandaa na mpambano wake na Juma Fundi utakaofanyika Oktoba 25 katika ukumbi wa Frends Corne Manzese.
Bondia Hamza Mchanjo kushoto akizipiga na Hassan Hoza wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika katika GYM ya Gongolamboto makaburi ya Kichina Dar es salaam Mchanjo anajianaa na mpambano wake na Juma Fundi.
Bondia Hamza Mchanjo kushoto akizipiga na Hassan Hoza wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika katika GYM ya Gongolamboto makaburi ya Kichina Dar es salaam Mchanjo anajianaa na mpambano wake na Juma Fundi utakaofanyika  October 25 katika ukumbi wa frends corner manzese Picha na SUPER D BLOG
RATIBA YA MABONDIA WATAKAOCHEZA SIKU HIYO YA TAREHE 25/7/2014

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>