WANAJESHI WA TANZANIA WALIPA JIJI LA MWANZA TUZO KWA UTOAJI HUDUMA NA...
Mbali na tuzo lukuki zilizojaa ofisi ya Halmashauri ya jiji la Mwanza, basi hizi ni tuzo mbalimbali zilizotwaliwa na ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza.MWANZA.CHUO cha Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa...
View ArticleWEUSI - NKUBUNKUBAH LIVE
WEUSIni moja kati ya kundi ambalo muziki wake hauchoshi mashabiki pindi wanapopanda katika jukwaa, wanajua kuiteka hadhira kwa mistari ya hatari iliyopangika yenye kuzungumzia harakati mbalimbali za...
View ArticleHIVI NDIVYO PICHA ZA INSTAGRAM PARTY ZILIVYO 'SHINE' NDANI YA JEMBE BEACH MWANZA
INSTAGRAM PARTY MWANZAFreconicIdeaz was pleased to organize Quarterly Party Event, which was held on October 4th, 2014 from 7:00 p.m. until 4:00 a.m. at JembeniJembe aka Jembe BeachMwanza. The nights...
View ArticleTSN Group YAPONGEZA KUANZISHWA KWAMBIO FUPI KATIKA Rock City Marathon 2014
Afisa Mtendaji Mkuu wa TSN group, Bw. Farough Baghozah (wapili kushoto)akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 13 Mratibu wa Mbio za Rock City Marathon 2014, Bw. Mathew Kasonta (wa kwanza kulia) wakati...
View ArticleBONDIA HAMZA MCHANJO AMKAMIA JUMA FUNDI KUMPIGA K,O MBAYA Oktoba 25
Bondia Hamza Mchanjo akinolewa na kocha Saidi Chaku katika GYM ya Gongolamboto Dar es salaam jana Mchanjo anajiandaa na mpambano wake na Juma Fundi utakaofanyika Oktoba 25 katika ukumbi wa Frends Corne...
View ArticleMPANGO WA TASAF III UKITEKELEZWA VYEMA VIJIJINI UTAKOMESHA MAUAJI YA VIKONGWE...
Katibu tawala wa Wilaya ya Magu, Thomas Nyansasi, akisoma hutuba ya Mkuu wa Wilaya hiyo Jackiline Liana jana wakati wa ufunguzi wa warsha ya siku moja ya TASAF awamu ya tatu.Ni sehemu ya wajumbe wa...
View ArticlePICHA NA STORI COCO BEACH UZINDUZI WA NAMBA YA DILI KWA WASANII KUPITIA...
Meneja uhusiano wa airtel Jackson Mmbando akizindua na kutangaza rasmi namba itakayowawezesha watanzania kushiriki mashindano ya kusaka vipaji ya muziki ya airtel trace music star kwa kukerekodi na...
View ArticleNAKAAYA ASHUSHA KITU KIPYA SOKONI, NI KATIKA ALBUM BLESSING.
Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam BlessingNakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam BlessingNaaziz...Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing MSANII wa...
View ArticleMKENYA ALIYEBADILI JINSIA ASHINDA KESI.
Mkenya aliyebadili jinsia ashinda kesi8 Oktoba 2014 Imebadilishwa mwisho saa 16:22 GMTMahakama Kuu nchini Kenya imeliamuru Baraza la mitihani la Taifa, kubadilisha majina katika vyeti vya mitihani vya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI CHA HISANI...
Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya...
View ArticleMWALIMU AKUTWA AKIFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI WAKE.
CHANZO: PRINCE MEDIAMWALIMU wa Shule ya Sekondari ya Muungano iliyopo mji mdogo wa Himo wilayani Moshi, Richard Ndoile (30), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, kwa tuhuma za kukutwa...
View ArticleJK AZINDUA UJENZI WA BARABARA NA MIRADI YA MAENDELEO MWANZA
* RAIS Dk Jakaya Kikwete ataka wanaokula fedha za miradi ya maendeleo na barabara kuacha watachukuliwa hatua kali za kisheria.*Asema ujenzi wa barabara za lami nchini ni sawa na Damu katika mshipa wa...
View ArticleKAMPENI YA UTOAJI WA CHANJO YA SURUA-RUBELLA WILAYA ZA MKOAWA MWANZA
TangazoWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA KUTAKUWEPO NA KAMPENI YA UTOAJI WA CHANJO YA SURUA-RUBELLA KWA WATOTO WENYE UMRI WA CHINI YA MIAKA 15, ITAKAYOANZA TAREHE 18...
View ArticleKAMPENI YA UTOAJI WA CHANJO YA SURUA-RUBELLA WILAYA ZA MKOAWA MWANZA
TANGAZOWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA KUTAKUWEPO NA KAMPENI YA UTOAJI WA CHANJO YA SURUA-RUBELLA KWA WATOTO WENYE UMRI WA CHINI YA MIAKA 15, ITAKAYOANZA TAREHE 18...
View ArticleVIAGRA HUSABABISHA UPOFU
CHANZO:BBC SWAHILIWatafiti nchini Australia wanadai kwamba dawa inayotumiwa kuongeza nguvu za kiume VIAGRA husababisha upofu baada ya mda mrefu.Kulingana na Watafiti hao kutoka Australia, kiungo fulani...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA DARAJA LA KISASA LA MABATINI
* Amfagilia Meya wa Jiji la Mwanza kwa kueleza mipango ya maendeleo na kusema anglipata Mameya kama yeye nchi ingepiga hatua.*Azindua miradi miwili ya Daraja la kisasa la Mabatini.*Aweka jiwe la Msingi...
View ArticleTIMU YA POOL TAIFA YAJIWEKA SAWA KWA SAFARI ALL POOL CHAMPIONSHIP
Nahodha wa timu ya Taifa ya mchezo wa Safari Pool, Charles Venance akicheza wakti wa mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya Kombaia ya Mkoa wa kimichezo wa Temeke uliochezwa katika Klabu ya Mpo Afrika...
View ArticleHOSPTIALI ZA WILAYA ZA MISUNGWI, SENGEREMA, MAGU NA KWIMBA ZAPEWA VIFAA VYA...
TAASISI ya Afrika ya Brien Holden Vision Institute (BHVI) imezipiga jeki ya vifaa tiba vyenye thamani ya Sh milioni 68 ili kukabiliana na tatizo la wagonjwa wa macho katika Hosptali za Wilaya ya...
View ArticleVITABU VYA AIRTEL VYAIBUA ARI YA WANAFUNZI GUNGU SEKONDARI KIGOMA
Meneja huduma za jamii wa Airtel Hawa Bayumi na Afisa Elimu vifaa na Takwimu wa Manispaa ya Kigoma Ujiji Bwana Yalagwila Gwimo makabidhiano ya vitabuMwalimu mkuu shule ya sekondari Gungu Alberto Dobeye...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAONGOZA WANANCHI WA SENGEREMA KUMZIKA DKT. SHIJA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa...
View Article