SKYLIGHT BAND IMEBADILI SURA YA MUZIKI WA LAIVU
Wamiliki wa Skylight Band Dk. Sebastian Ndege na Justine Ndege wakiwa kwenye moja ya show za vijana wao Skylight Band ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki jijini Dar.Na MOBlog TeamKAMA ni...
View ArticleTIGO YAADHIMISHA KILELE CHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUSHIRIKIANA NA...
Meneja huduma kwa wateja kampuni ya mawasiliaano ya Tigo Kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo (wa pili kutokakulia) akikabidhi zawadi kwa washindi wa michezo mbalimbali iliyo husishwa kwenye kilele cha...
View ArticleTAARIFA YA MSIBA
Menejimenti ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzao Bw. Amin Elias Mbaga aliyekuwa Meneja Uhusino kilichotokea tarehe 13.10.2014 katika Hospitali ya Regency...
View ArticleJK AWASHANGAA WASIOTAKA WAWEKEZAJI NCHINI TANZANIA
RAIS, Dk Jakaya Kikwete amesema wananchi hawawezi kupata ajira iwapo hapatakuwa na wawekezaji, hivyo halmashauri nchini likiwemo jiji la Mwanza, zitengeneze maeneo ya uwekezaji ili kukuza uchumi na...
View ArticleNGUMI ZILIVYOPIGWA TANDIKA
Bondia Azizi Rashid kushoto akipambana na Azizi Abdallah wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Abdallah alishinda kwa point mpambano huo .Bondia Hassan Rajabu...
View ArticleBOB HAISA FEAT SWEET K - TUKATE KEKI
Ni kawaida sasa na ni suala ambalo limezoeleka kwa msanii wa muziki wa Bongo fleva nchini Bob Haisa kufyatua single kila mwezi, safari hii (mwezi huu wa 10/2014) Bob Haisa amekuja na wimbo wake mpya...
View ArticleSHULE 30 ZAUNGANISHWA NA SHIRIKA LA KIMATAIFA LISILO LA KISERIKALI LA...
Mgeni rasmi,Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo  akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya...
View ArticleAIRTEL YAKARABATI DUKA JINGINE KISIWANI ZANZIBAR
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Abdallah Mwinyi akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja la Airtel kisiwani Zanzibar .Akifuatiwa na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel...
View ArticleKAMPUNI YA TTCL YAANZISHA KITUO CHA INTERNETI 'IP Pop'
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kulia) akizungumza na wanahabari mara baada ya mkutano wa wadau wa mawasiliano Afrika ikiwemo kampuni ya TTCL.Naibu Waziri wa...
View ArticleHALMASHAURI ZA MAJIJI NA MANISPAA ZAKEMEWA.
NDG. ZUBERI M. SAMATABA, KAIMU KATIBU MKUU- OWM-TAMISEMI AKIFUNGUA MKUTANO HUO WA SIKU TATU.MR. ONOUR OZLY- MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA, ALIPOKUWA AKITOA MALEZO MAFUPI KUHUSU LENGO LA MKUTANO HUO.JANE...
View ArticleMPINA KUENZI UTAMADUNI WA WASUKUMA.
Mbunge wa Jimbo la Kisesa (CCM), Luhaga Mpina akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mwandu Itinje wilayani Meatu mkoani Simiyu, waliofika eneo hilo kushuhudia mpambano ulioandaliwa na mbunge huyo wa...
View ArticleHIVI NDIVYO SKYLIGHT BAND HUFANYA
Wanaume wa shoka wa Skylight Band kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Digna Mbepera wakionyesha mbwembwe zao za kulisakata sebene kwa mashabiki wao, ambapo jioni ya leo watakuwepo kama...
View ArticleSTAND UNITED TAYARI IPO BUKOBA KUUMANA NA KAGERA KAITABA LEO
PICHA na Faustine Ruta: BukobaJUMLA ya wachezaji wa Timu ya Stand United wametua Mjini Bukoba siku ya tatu leo kwa ajili ya Kipute cha Ligi kuu Vodacom msimu wa 2014-15 na Wenyeji wao Kagera Sugar jana...
View ArticleTIGO SASA NI MKONO KWA MKONO NA BODABODA MWANZA
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza, wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo madereva wa Bodaboda na mpango wa Tigo kuwawezesha kukuza mtaji kwa...
View ArticleHAWA JAMAA WAMEAHIDI KUMFUNIKA 'TI' LEO LEADERS JIJINI DAR KATIKA SERENGETI...
Wakati Jiji la Dar es salaam likiongezeka joto kwa Tamasha la Serengeti Fiesta  2014 kumshusha mwanamuziki mkali wa Hip Hop kutoka nchini Marekani mwenye tuzo nyingi za Grammy, mtu mzima TI, tayari...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE YA KUWEKWA WAKHFU ASKOFU MTEULE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana nabaadhi ya viongozi wa dini ya Kikristu, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo,...
View ArticleAFRIKA KUSINI MABINGWA SAFARI POOL AFRIKA 2014.
Mabingwa wa Safari Pool Afrika 2014 kutoka Afrika Kusini, timu ya Taifa ya Pool ya Nchi hiyo wakishangilia na kitita cha Dolla 5000$ sawa na pesa taslimu za Kitanzania Shilingi 8,500,000/= pamoja na...
View ArticlePATA PICHA KAMILI KWA TAMASHA LA KUFUNGA MWAKA LA SERENGETI FIESTA...
Majina yote mpe yeye,mara Dangote,mara Chibu afu jazia na Diamond Platnum akiwa kazini na skwadi lake zima la kazi alipiga Bo..bo...bonge la Show Fiestani 2014.Msanii wa muziki kizazi kipya,Rachael...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA MKUTANO MKUU WA WANACCM WILAYA YA ILALA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wanachama wa CCM, wakati alipokuwa akifunga mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala,...
View Article