ILIKUWA ni majira ya saa 6:35 picha hizi zimepigwa hii leo.
Hii leo majira hayo ya mchana kama ulikuwa na safari ya kwenda Iringa - Mbeya basi ilikuwa hauna budi kusitisha safari hiyo kwani njia ilikuwa imefungwa tangu saa mbili asubuhi mpaka mida hiyo.
Sababu kuu ya kushindikana kwa safari na hata kusitishwa kwani kuna lory lililokuwa limebeba lami linawaka moto katikati ya barabara ikiwa ni mara baada ya kupata ajali na kupinduka katikati ya safari ukipitia Mikumi.

![]() |
Lami imesambaa barabarani moto umetanda njia haipitiki. |
![]() |
Barabara ni lami na lami ndiyo imemwagika juu yake moto unawaka hii ni hatari. |