Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMAMOSI HII NDANI YA JEMBE BEACH NI FUNGA MWAKA NA WEUSI.

Jumamosi hii tukutane Jembe Beach Malimbe Mwanza kwani kuna bonge la Show la Hiphop toka kwa WEUSI, siunajua makamuzi yao si yakitoto mazee ama nini. KAMA VIPI BOFYA PLAY KUSIKILIZA TANGAZO.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA KABILA LA WAJARUO YAIBWAGA TIMU YA WAHAYA “WATANI WA JADI” KUWANIA...

TIMU ya kabila la Wajaruo jana iliwabwaga watani wao wa jadi timu ya Wahaya na kujinyakulia zawadi ya Beberu la mbuzi katika pambano kali la kusisimua lililofanyika kwenye uwanja wa Magomeni Kirumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MMILIKI WA LINAS CLUB BUKOBA AFARIKI DUNIA

Enzi za uhai wake katikati ni marehemu Mtensa Leonard ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Linas Night Club akiwa na fundi wa Clouds Fm Daudi Lembuya (kushoto) na Albert G. Sengo hivi karibuni katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGOMA MPYA YA VANESSA MDEE ft BARNABA - SIRI

BOFYA PLAY KUISIKILIZA.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAMWAGA VITABU VYA MILIONI 15 WILAYANI MAKETE -NJOMBE

Kulia ni Meneja wa Kanda za juu kusini wa Airtel bw, Straton Mushi  akikabidhi  msaada wa vitabu kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dokta BINILITHI MAHENGE utakaofaidisha jumla ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SDL YASOGEZWA MBELE HADI DESEMBA 6

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILL COSBY ASHUTUMIWA KUWA MDHALILISHAJI.

CHANZO BBC SWAHILI.Televisheni ya NBC imesitisha mradi wa kurusha kipindi cha mchekeshaji maarufu duniani, Bill Cosby baada ya kukabiliwa na shutuma zaunyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake .Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LORY LA LAMI LALIPUKA MIKUMI SAFARI ZASITISHWA.

ILIKUWA ni majira ya saa 6:35 picha hizi zimepigwa hii leo.Hii leo majira hayo ya mchana kama ulikuwa na safari ya kwenda Iringa - Mbeya basi ilikuwa hauna budi kusitisha safari hiyo kwani njia ilikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEUSI WATUA MWANZA SIKILIZA NGOMA WALIZOGONGA NDANI YA 93.7 JEMBE FM

Kutoka WEUSI Joh Makini Mwamba wa Kaskazini akifanya makamuzi ndani ya 93.7 Jembe Fm Mwanza chini ya usaidizi wa shavu la Dj K.Flip ambaye time za mchana ndiyo mida yake. Pichani kwa mbaaali inaonekana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FM ACADEMIA YAMOTO BAND NA BARBANAS KUWASHA MOTO 'USIKU MWEUPE' JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Blog ya Wananchi, William Malecela akiongea wakati wa onesho maalum liitwalo 'Usiku Mweupe' utakaofanyika ukumbi wa Escape One jijini Dar es Salaam.Na Mwandishi Wetu.FM Academia 'Wazee wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA PAN AFRICAN ENERGY YATOA MSAADA WA MIFUKO 1500 YA SARUJI KWA...

Meneja wa Uwajibikaji na Huduma za Jamii wa Kampuni ya uchimbaji wa gesi ya Pan African Energy, Andrew Kashangaki (kwanza kushoto) akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Peter Malekela (kulia)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IJUMAA IMERUDI TENA TUKUTANE THAI VILLAGE...!!

Majembe ya Skylight Band yakiporomosha burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mkongwe kwenye muziki wa dansi Joniko Flower...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA PILI WA KIMATAIFA WA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Mkutano wa pili wa Kimataifa kuhusu Lishe na Virutubisho (ICN2) uliofanyika katika ukumbi wa Makao Makuu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKOSE.....!!!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KENYA YAUWA AL-SHAHBAAB 100.

Mashuhuda nchini Kenya wakiranda karibu na basi ambalo abiria wake walikumbwa na uvamizi na kuuawa na kundi la Al-Shabaab jana Nov. 22, 2014. PICHA NA Reuters/StringerCHANZO/BBC.Makamo wa rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKUNDI CHA KATAA UNENE FAMILY (KUF) LAAIMISHA MWAKA MMOJA

Kundi linalojulikana kwa jina la Kataa Unene Family (KUF) linaloongozwa na mwanadada Angel Msangi limeadhimisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake na kujiwekea malengo ya kusaidia idadi kubwa zaidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL PREMIER YALINDULIWA JIJINI DAR

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji na Uwekezaji), Dk. Mary Nagu (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kulia) na Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Airtel,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHOW YA WEUSI FUNGA MWAKA YAFUNIKA MWANZA

Joh Makini akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza waliofurika kwa wingi Jembe Beach Malimbe Mwanza kushuhudia show ya WEUSI iliyofanyika jumamosi tarehe 22.G. Nako hatari...Bonta aliamsha iliyozuka at...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAPCO YAZINDUA KADI MAALUM ZA SAFARI ZITAKAZOWEZESHA DEREVA KUPATA UNAFUU WA...

Ofisa Mtendaji Mkuu wa kundi la makampuni ya Gapco, Dk. Macharia Irungu akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa kadi maalum za Safari zitakazomuwezesha dereva kupata unafuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YEAR AND SPECIAL 2014 WITH BASKETMOUTH FROM NIGERIA

View Article
Browsing all 12417 articles
Browse latest View live