TAASISI YA DENMARK YAPIGA TAFU NYANGUGE VIFAA AFYA NA TEKNOLOJIA VYA THAMANI...
NA PETER FABIAN, MAGU.TAASISI ya Grenaa Youth Production School (GYPS) ya nchi ya Denmark imempiga tafu Diwani wa Kata ya Nyanguge Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Hilali Elisha kwa kumpatia vifaa vya...
View ArticleTOTO AFRICANS YAPORA DHAHABU ZA GEITA.
NA. ALBERT G. SENGO: MWANZAKUPUUZA kanuni za soka, pamoja na kutozingatia sheria zake hii leo kumeigharimu timu ya Geita Gold na hatimaye kupokea kichapo kama cha mbwa mwizi vile toka kwa Toto...
View ArticleBONY MWAITEGE ATOA NGOMA MPYA YA INJILI - SOMA MWANANGU
Song ; Soma MwananguArtist ; Bony Mwaitege feat Bahati BukukuProduced By KAMETAWritten By Boniface MwaitegeBOFYA PLAY KUSIKILIZA.
View ArticlePICHA ZA ILIVYOKUWA MWANZA SAMAKI CARNIVAL PART ONE
Siyo samaki toka ziwa Victoria pekee bali pia toka maji chumvi walikuwepo na hapa Said 'mwanangu mwenyewe' akijichukulia pande lake kwenye tamasha la Samaki Carnival lililofanyika kwa mara ya kwanza...
View ArticleSIKU IMEKATIKA KWA MTINDO HUU.
Ingawa siku ilianza kwa anga likiwa angavu, nalo jua kuchomoza mapeeeeeema likituchoma ile kisawasawa siye wamachinga tunaopata riziki yetu ya kila siku kwa kuzurura huku na kule kitaani, mwisho wa...
View ArticleBURUDANI FC YAINGIA NUSU FAINALI, YAIONDOSHA KILUVYA UTD KWA PENATI KWENYE DR...
KIKOSI CHA BURUDANI FCKIKOSI CHA KILUVYA UTD......... Michuano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP hatua ya robo fainali imeendelea leo kwenye uwanja wa bandari maeneo ya Tandika Mwembeyanga kwa...
View ArticleHAYA NDIYO MAMBO YA KYLIGHT BAND.
Pichani Kutoka kushoto ni Bella Kombo akiongoza mashambulizi ya jukwaa akipewa sapoti na Digna Mbepera(katikati) na kwa mbaliiiii ni Aneth kushaba. Kama kawaida yetu inapofika mwishoni mwa juma yaani...
View ArticleKAMPUNI YA MAFUTA YA ENGEN YAANDIMISHA MIAKA 21 TANGU KUANZISHWA KWAKE
Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania leo Novemba 14,2014 wameungana na wafanyakazi wenzao Barani Afrika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 21 ya kuanzishwa kwa Kampuni hiyo,ambayo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI KWA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Wajumbe wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wakati...
View ArticleORIJINO KOMEDI WATINGA NDANI YA JEMBE FM 93.7 MWANZA.
Kundi la Orijino Komedi likipata picha ya pamoja na ma-Jembe dJz kulia ni Dj Davy, kushoto ni Dj K-Flip, katika studio za Jembe Fm 93.7 Mwanza, Orijino Komedi Kesho jumapili wataungana na Yamoto Band...
View ArticleKAMPUNI YA BIMA YA AFYA YA RESOLUTION YAANDA SIKU MAALUM YA FAMILIA KWA...
Mchezaji Abdalah Abdul(kulia) akijaribu kumtoka Hilari Salehe wakati wa hafla kwa nafamilia wa Resolution Insurance(Bima ya Afya) iliyofanyika katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam...
View ArticleNICHORAUS NGOROMA MABINGWA MBIO ZA BALIMI MITUMBWI UKEREWE.
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Mery Tesha...Washindi wa kwanza wa mbio za makasia wa Kisiwa cha ukerewe kikundi cha Nichoraus Ngoroma wakiwa katika Picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa zawadi mwishoni...
View ArticleDROO YA KWANZA NDOVU SPECIAL MALT YAFANYIKA WASHINDI KUTEMBELEA HIFADHI ZA...
Meneja wa bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli(kulia) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kuchezesha droo ya kwanza yakampeni ya “Ndovu Golden Experience” ya kusaka...
View ArticleUNITY OF WOMEN FRIENDS (UWF) WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MSHINDI WA SHINDANO LA...
Picha ya pamoja, Baadhi ya wana kikundi cha UWF, mwakilishi kutoka Tanzania Women Bank (TWB), Bi Khadija na Baadhi ya washindi wa mradi huo wa Mwanamakuka tangu mwaka 2012 wakiwa katika picha pamoja....
View ArticleAIRTEL YAENDELEA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU HAPA NCHINI.
Meneja wa Airtel Simiyu Bw. Ezekiel Nungwi akikabidhi msaada wa vitabu vya sayansi kwa Mkuu wa wilaya ya Bariadi Bw. Erasto SimaMkuu wa shule ya sekondari ya Bariadi Bw. Pawa Lutema akipokea msaada wa...
View ArticleSKYMOTO YAWABAMBA WAKAZI WA JIJINI MWANZA NDANI YA JEMBE BEACH
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akizungumza na wakazi wa Mwanza kuwakaribisha kwenye show ya SKYMOTO iliyofanyika kwenye hekalu la maraha la Jembe Beach...
View Article