Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12417

CHRISTIANO RONALDO AWAPIGA VIKUMBO MESSI NA NEUER NA KUTWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA FIFA BALLON d'Or 2014 -2015

$
0
0
HATIMAYE tuzo ya mchezaji Bora wa dunia wa Fifa kwa mwaka 2014 nayojulikana kwa jina laFIFA Ballon d'Or 2014kwa mara nyingine tena imemwangukia Christiano Ronaldo. 
Ronaldo ambaye ni mchezaji wa timu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, alibaki katika safu ya wachezaji watatu wa fainali.
Mwingine ni Lionel Messi mshambuliaji wa Barcelona na mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina na wa tatu ni Manuel Neuer Mlinda mlango wa Bayern Munich ambaye pia hudakia timu yake ya taifa ya Ujerumani ambao wote hawakufua dafu.

Cristiano Ronaldo amepata kura 37.66%
Lionel Messi amepata kura 15.76%
Manuel Neuer amepata kura 15.72% 

MATOKEO ZAIDI KWA CHATI:-
FIFA BALLON D'OR WINNER:Cristiano Ronaldo
FIFA WOMEN'S WORLD PLAYER OF THE YEAR:Nadine Kessler
FIFA PUSKAS AWARD:James Rodriguez
FIFA WORLD COACH OF THE YEAR FOR MEN'SFOOTBALL:Joachim Low
FIFA WORLD COACH OF THE YEAR FOR WOMEN'S FOOTBALL:Ralf Kellermann
KIKOSI CHA TIMU YA DUNIA (WORLD XI): 
Neuer; Lahm, Ramos, David Luiz, Thiago Silva;
Di Maria, Iniesta, Kroos; Messi, Ronaldo, Robben
FIFA PRESIDENTIAL AWARD:Hiroshi Kagawa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12417

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>