Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERI YA SIKU YA KUZALIWA MWANALIBENEKE WA DEMASHO

Mwanalibeneke wa Demasho.com Hamza Juma akiwa anawajibika , leo hii anasherekea siku yake ya kuzaliwa .Wahenga wanasema maisha ni Safari na siku hazigandi, nakama maisha ni safari basi kila kukicha...

View Article


VURUGU ZA TIMU YA POLISI DODOMA ZAVUNJA MCHEZO BAINA YAO NA TOTO AFRICANS

NA. ALBERT G.SENGO: MWANZABado vitendo vya baadhi ya timu za Polisi kutumia ubabe kupata matokeo kwenye mchezo hapa nchini hususani Ligi soka daraja la kwanza Tanzania Bara vimeendelea kutawala na kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA MMEJIANDAAJE...!!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBE EBOLA NI MPANGO WA MAREKANI..??

HAYAsasa... Ule mgogoro uliokua unaendelea baina Ya Marekani na Korea Kaskazini..wametunishiana msuli mwishowe wameanza kuvuana Mpaka Nguo...Awali Marekani kupitia kampun ya Sony Pictures iliamua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA DUKA LA ZURII HOUSE OF BEAUTY KUFANYIKA JIJINI DAR HII LEO.

Karibu ZuRii House of Beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi litakalo funguliwa rasmi leo Jumatatu 12 Jan 2015.Duka lipo Dar Free Market 1st Floor Shop No F4.Tutakuwa tuko wazi kuanzia saa nne...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GONGO LA MBOTO,...

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHRISTIANO RONALDO AWAPIGA VIKUMBO MESSI NA NEUER NA KUTWAA TUZO YA MCHEZAJI...

HATIMAYE tuzo ya mchezaji Bora wa dunia wa Fifa kwa mwaka 2014 nayojulikana kwa jina laFIFA Ballon d'Or 2014, kwa mara nyingine tena imemwangukia Christiano Ronaldo. Ronaldo ambaye ni mchezaji wa timu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEH MARA QUEENS WATALIPIZA KISASI HII LEO?

NA WILSON ELISHA:-TIMU ya soka ya wanawake ya Mkoa wa Mara, Mara Queens hatimaye imemaliza kuweka kambi yake kwa ajili ya kulipiza kisasa katika mchezo wa marudiano na Mwanza Queens, kufuatia kipigo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA IPTL NA AKAUNTI YA ESCROW: HAYA NDIYO MASWALI YA KUJIULIZA.

SAKATA la IPTL na Akaunti ya Escrow ya Tegeta  bado linafukuta hasa katika uwanja wa siasa na maongezi ya kawaida ya watanzania. Katika hali ya kawaida, mfukuto wa sakata la IPTL Akaunti ya Escrow ya...

View Article


MATUKIO 10 YA KIPUUZI YALIYOPOSTIWA FACEBOOK NA KUSABABISHA WATU KUTUPWA JELA

Kibongobongo baadhi ya watu wamekuwa wakichukulia poa suala la kuposti matukio hatarishi tena mengine ya kukiuka sheria, kanuni na maadili chekshia video ya matukio 10 ya wenzetu mamtoni na kwingineko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE CCM ARUSHA AZINDUA DUKA JIPYA LA UREMBO DAR

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige (kushoto) akiwasili kuzindua rasmi duka la urembo la ZuRii House of Beauty linalomilikiwa na mwana Diaspora ambaye pia ni mwanalibeneke...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA BINGWA MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI 2015

Fainali ya Michuano ya Kombe la Mapinduzi 2015 imefanyika usiku huu katika uwanja wa Aman mjini Zanzibar, ambapo Simba Sports Club walikuwa wakipepetana na Mtibwa Sugar.Mbele ya mgeni rasmi Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKI KICHUPA CHA E-40 ALICHOSHIRIKISHWA JAMAA ATAKAYE TUA MWEZI FEB JIJINI...

Ni Bo-Bo-Bonge la track la msanii E-40 linaloitwa "RED CUP" akimshirikisha T-Pain, jamaa anayetarajiwa kudondoka jijini Mwanza mnamo Tarehe 21 mwezi feb 2015, eneo la tukio ni uwanja wa CCM...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHINDI WA DROO YA 7 YA 'TUTOKE NA SERENGETI' APATIKANA

Kaimu Meneja chapa bia ya Serengeti Premium Lager, Eli Huruma Ngowi, akiongea na waandishi wa habari, hawapo Pichani wakati wa kuchezesha droo ya Saba ya Shindano la Tutoke na Serengeti  la kumtafuta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHUDUMU AMFIKISHA MAHAKAMANI MBUNGE MACHEMLI KWA MADAI YA KUSHINDWA KUMLIPA...

Machemuli bungeni.NA MWAANDISHI WA BLOG HII, MWANZA. MBUNGEwa Jimbo la Ukerewe, Salvatory Machemuli (Chadema), amefikishwa katika Mahakama ya Kazi akidaiwa mshahara wa miaka mitatu na mhudumu wa Ofisi...

View Article


TOTO YAIBAMIZA POLISI TBR 2-1

NA. ALBERT GSENGO:MWANZATOTO Africans ya jijini Mwanza hii leo imefanikiwa kugeuza matokeo katika dakika za mwishoni mwa mchezo dhidi ya Polisi Tabora ambayo ilikuwa ikiongoza kwa bao 1-0 hadi dakika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARUSI YA JULLY NA SUMAI ILIVYOFANA NCHINI AFRIKA YA KUSINI (PARTY ONE)

Bwana harusi Jully Iluga Mbwembwe akiwa na Bi. Harusi wake Sumai Kazi mara baada ya kufunga ndoa takatifu nchini Afrika ya Kusini.Pozi la Bi. Harusi Sumai Kazi.Bustanini.Baba wa Bi. Harusi Mr. Kazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YATOA VITABU VYA SAYANSI SEKONDARI BARIADI SIMIYU

Mkuu wa wilaya ya  Bariadi Bw. Erasto Sima akisoma Hotuba katika makabidhiano ya msaada wa vitabu vya masomo ya sayansi kwa shule ya sekondari Bariadi uliotolewa na kampuni ya Airtel TanzaniaMkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THT KUADHIMISHA MIAKA KUMI TOKA KUANZISHWA KWAKE

THT kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, tarehe 31/1/2015, Escape 1·        Kufungua kampuni ya ushonaji na ubunifu wa mavaziKituo cha kuzalisha na kukuza vipaji, Tanzania House of Talent,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA AKUTANA NA VIJANA WA SOKA WAISHIO...

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Dianna Melrose (kushoto) akikabidhi msaada wa jezi na bukta zake kwa mtoto Sunday Hassan ambaye alisimama kwa niaba ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu...

View Article
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>