SKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR WASAJILI VIFAA VIPYA AKIWEMO JOHN...
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.Kifaa kipya ndani ya Skylight Band John Music...
View ArticleAMAVUBI KUTUA MWANZA JANUARY 21 KUPEPETANA NA TAIFA STARS
Timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi) itawasili Mwanza, Tanzania Januari 21 mwaka huu kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Taifa Stars Maboresho itakayochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba...
View ArticleKAGERA SUGAR Vs MBEYA CITY HIVI SASA UWANJA WA CCM KIRUMBA MWANZA
Dakika ya 25 kipindi cha kwanza hakuna kipya bao 0-0Dakika 90 Kagera 0-1 Mbeya City. SAUTI YA SPORTS XTRA KUWAJIA HIVI PUNDE KUJUA KIPI KILICHOJIRI
View ArticleJEBBY_LOVE MATATA_MAZUU RECORDS _ MPYA 2015
Singer Name:- JebbySong Name:- Love MatataCountry;- Tanzania Genre;- Bongo FlavourStudio:- Mazuu Records
View ArticleMFANYABIASHARA NA MTUHUMIWA SUGU WA UJAMBAZI ANASWA NA SMG NA RISASI 331,...
Wakizungumza na waandishi wa Habari jana jijini Mwanza, Makamanda wa Polisi SCP Valentino Mlowola wa mkoa wa Mwanza (katikati) SCP Charles Mkumbo wa mkoa wa Shinyanga (kushoto) na SCP Justus Kamugisha...
View ArticleMAAFANDE WA JKT KANEMBWA WARUSHWA KICHURACHURA NA WATOTO WA MTAA WA...
TOTO Africans leo imewarusha kichurachura maafande wa JKT Kanembwa kutoka mkoani Kigoma kwa kuwafunga mabao 5-2, mchezo uliochezwa kwenye dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza.Kwa matokeo hayo Toto...
View ArticleJAJI MUTUNGI AVIONYA VYAMA VYA SIASA VINAVYOENDEKEZA MIGOGORO
Hivi Karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la Migogoro ndani ya vyama vya Siasa. Jambo hili linaleta Taswira mbaya kwa jamii, hasa kipindi hiki ukielekea katika uchaguzi Mkuu wa nchi.Athari za migogoro hii...
View ArticleDORIS MOLLEL KATIKA UZINDUZI WA BWENI LA KWANZA KWA WATOTO WA JAMII YA...
Miss Singida Kanda ya Kati 2014/15,Doris Mollel (wa pili kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati alipohudhuria kwenye hafla ya ufunguzi wa bweni jipya maalum kwa watoto wa jamiii ya hadzabe...
View ArticleWAKALI WA FILAMU NCHINI GHANA WAOMBOLEZA KIFO CHA STAR WA MUVI NCHINI NIGERIA
SUPER STAR wa filamu kutoka nchini Nigeria mwigizaji ambaye alitokea kukubalika sana katika filamumbalimbali Muna Obiekwe (pichani) amefariki dunia jana Jumapili, January 18 akiwa na umri wa miaka...
View ArticleZAINABU 'IKOTA' MHAMILA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Zainabu 'IKOTA' Mhamila kushoto akimlisha keki mama yake mzazi Asha Kamnyanga wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika juzi nyumbani kwao buguruni Lozana.Zainabu 'Ikota' mhamila 'Super...
View ArticleKAGERA YAPOTEZA MCHEZO WAKE WA PILI NYUMBANI MBELE YA AZAM WANAONYAKUWA...
Kagera Sugar.KAGERA SUGAR hii leo imepoteza mchezo wake wa pili mfululizo ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani CCM Kirumba Mwanza, mbele ya Mabingwa watetezi Azam Fc ambao wanaondoka sasa kanda ya ziwa...
View ArticlePOLISI MWANZA WAMSAKA MTOTO ALBINO ALIYEPOTEA
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola akionesha picha ya mtoto Pendo Emmanuel.POLISI wametangaza kutoa dau la shilingi milioni tatu sawa na dola 1,700 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa...
View ArticleMSHINDI WA MTOKO WA MBUGANI BAADA YA KUWEKA SAINI KWENYE MKATABA WA SAFARI YAKE
Mshindi wa mtoko wa mbugani kwenye promosheni ya 'Tutoke na Serengeti' Bw. Deogratius Peter Bongole (24) kutoka Rombo mkoani Kilimanjaro akipewa maelekezo kuhusu safari yake ya kwenda Mbuga ya wanyama...
View ArticleKESHO NI TAIFA STARS V/S AMAVUBI UWANJA WA CCM KIRUMBA MWANZA
NA ALBERT G. SENGO MWANZA.KESHO katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kutakuwa na pambano la soka mchezo wa kirafiki wakimataifa ulio katika kalenda ya FIFA kati ya Taifa Stars (Maboresho) dhidi ya timu...
View ArticleHIVI NDIVYO MAKAMBA ATAKAVYOPAMBANA NA RUSHWA KATIKA TANZANIA MPYA, ZIJUE...
Baada ya kukisoma kitabu cha January Makamba kinachozungumzia 'Tanzania Mpya', sasa naomba niungane na maelezo ya dibaji iliyoandikwa na Rais Mstaafu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan...
View ArticleDK KEBWE AGIZA KIKAO CHA PAMOJA CHA WAMILIKI WA MADUKA YA DAWA NA MAMLAKA...
MWANZA.MGOGOROuliopo wa wamiliki wa maduka ya dawa baada ya kufungiwa maduka yao wakati wa ukaguzi maalumu uliofanywa na kikosi kazi jijini Mwanza, umepelekea Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuagiza...
View ArticleUTIWAJI SAINI MKATABA WA KUJENGA TENA UMOJA NA KUKIUNGANISHA UPYA CHAMA TWALA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akikaribisha viongozi na wajumbe katika mkutano huo Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa zamani wa CCM Mheshimiwa John...
View ArticleJIJI HATARINI KUSHINDWA KUTEKELEZA MRADI WA TSCP WA ZAIDI BL 3.7 WA...
NA PETER FABIAN, MWANZA. HALMASHAURI YA JIJI la Mwanza hatarini kushindwa kutekeleza mradi wa Tanzania Stragic Cites Projecty (TSCP) chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia wa zaidi ya Sh. Bilioni 3.7 wa...
View ArticleTAIFA STARS V/S AMAVUBI NGOMA DROO 1-1 CCM KIRUMBA MWANZA.
Nahodha wa Taifa Stars Simon Msuva (kushoto) akibadilishana bendera na nahodha wa timuya taifa la Rwanda 'Amavubi' Haruna Niyonzima (kulia) kabla ya mpambano wa kirafiki uwanja wa CCM Kirumba Mwanza....
View Article