Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

MSHINDI WA MTOKO WA MBUGANI BAADA YA KUWEKA SAINI KWENYE MKATABA WA SAFARI YAKE

$
0
0
Mshindi wa mtoko wa mbugani kwenye promosheni ya 'Tutoke na Serengeti' Bw. Deogratius Peter Bongole (24) kutoka Rombo mkoani Kilimanjaro akipewa maelekezo kuhusu safari yake ya kwenda Mbuga ya wanyama ya Serengeti baada ya kutia sahihi mkataba wake wa safari hiyo, pembeni yake pia anaonekana Meneja mauzo mkoa Kilimanjaro Orest Mmbaga (kushoto) na Afisa mauzo Moshi mjini Huruma Daniel (kulia) wakati alipofika katika Ofisi za Serengeti Breweries mkoa wa Kilimanjaro.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

Trending Articles