Kibongobongo baadhi ya watu wamekuwa wakichukulia poa suala la kuposti matukio hatarishi tena mengine ya kukiuka sheria, kanuni na maadili chekshia video ya matukio 10 ya wenzetu mamtoni na kwingineko duniani ambapo walioposti matukio yaliyowahusu mlengo huo walijikuta hatiani na kutiwa nguvuni.
↧