$ 0 0 Kwaheri Mez B.Huzuni imetawala.Harakati za mazishi..Safari kuelekea mazishini.Ni sehemu ya wasanii walio hudhuria mazishi ya MEZ B wakiwa katika majonzi.Mtangazaji wa Citizen TV Mzazi Willy Tuva akifanya mahojiano na msanii wa Bongo Fleva Janjaro.