MHESHIMIWA ANGELA KAIRUKI AHITIMISHA RASMI MKUTANO WA KIKANDA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMHESHIMIWA ANGELA KAIRUKI AHITIMISHA RASMI MKUTANO WA KIKANDA Dar es Salaam, JumapiliFebruari 22, 2015 Mkutano wa kikanda juu ya ukuaji na maisha ya baadae ya miji ya...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI ATAKA WACHIMBAJI KUJIUNGA VIKUNDI ILI...
NA, PETER FABIAN, MISUNGWI. NAIBU Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Charles Kitwanga, amewataka wachimbaji wadogo wa Madini kujiunga katika vikundi ili kupatiwa Leseni za...
View ArticleAMIN SALMINI AAHIDI KUIBORESHA OFISI YA SERIKALI YA MTAA KATA YA TABATA,...
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi Cheti, Mwenyekiti wa UWT ambaye pia ni Kaimu Katibu wa CCM wa Tabata Relini, Shahani Mtwawa, wakati wa Sherehe maalum...
View ArticleAIRTEL KUENDELEA KUSAIDIA WALEMAVU HAPA NCHINI KWA KUWAPONGEZA VITENDEA KAZI
Afisa masoko wa Airtel Haruna Ndyanabo (wa pili Kulia) akimkabidhi Rukia Salum (wapili Kushoto) mmoja kati ya walemavu waliowezeshwa na Airtel kwa kupatiwa vibanda vya kisasa vya Airtel Money ili...
View ArticleKILUVYA UNITED HIYOOoooo DARAJA LA KWANZA
Kiluvya united yakwea pipa yapanda daraja la kwanzaNa Victor Masangu, from Pwani TIMU ya soka ya Kiluvya united ‘wabishi wa Pwani’ jana iliweza kudhiirishwa umwamba wake katika kandanda baada ya kukata...
View ArticleHATIMAYE MEZ B AZIKWA MJINI DODOMA
Kwaheri Mez B.Huzuni imetawala.Harakati za mazishi..Safari kuelekea mazishini.Ni sehemu ya wasanii walio hudhuria mazishi ya MEZ B wakiwa katika majonzi.Mtangazaji wa Citizen TV Mzazi Willy Tuva...
View ArticlePICHA ZA KU-JEMBEKA NA SHAREACOKETZ
Mc Magoma aki-share katika usiku wa Kujembeka mwishoni mwa wiki ambapo wasanii wa Sauti Sol walitimba na kumwaga burudani.G. Sengo along side Pamba Bob White katiaka Usiku wa Kujembeka.Roda na...
View ArticleNGUMI KUPIGWA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA
BONDIA Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe'ametamba kumsambalatisha Fadhili Majiha 'Stoper' katika raundi za awali za mpambano wao utakaofanyika siku ya jumamosi ya feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa...
View ArticleSHOW YA SAUTI SOL KATIKA JEMBEKA PARTY MWANZA ILIKUWA HATARI....!!!
Sauti Sol toka nchini Kenya mwishoni mwa wiki (21/02/2015) wamepiga show ya kufufuka mtu ndani ya kiota cha burudani chanye hadhi ya kitalii Jembe Beach ndani ya party lililopewa jina la JEMBEKA,...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA MISUNGWI , KITWANGA, AGIZA MKURUGENZI KUKAMILISHA UJENZI...
Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Charles Kitwanga “Mawe Matatu” NA PETER FABIAN, MISUNGWI.MBUNGEwa Jimbo la Misungwi, Charles Kitwanga “Mawe Matatu” ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi...
View ArticleMCHUUZI WA SOKO JIPYA LA KAWE AIBUKA NA TOYOTA IST
Mfanyabiashara wa Soko la Jipya la Kawe, Grace Pascal Kalengela (wa pili kulia), ambaye aliibuka mshindi wa Droo ya tatu ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi akishangiliwa na wafanyabiashara wenzake...
View ArticleSHULE ZA MSINGI MKOANI SINGIDA KUPOKEA VITABU 200
Miss Singida kanda ya kati 2014/15,Doris Mollel akisikiliza jambo kutoka kwa Afisa Mipango wa Children’s Book Project for Tanzania,Ramadhani Ali wakati akipokea vitabu kutoka Children’s Book Project...
View ArticleWANANCHI WASIOPATA HUDUMA YA UMEME WATAKIWA KUCHANGAMKIA SOLA ZA KAMPUNI YA...
Mtendaji wa Kata ya Igoma wilayani Nyamagana, Philbert Magana, akimkabizi mteja wa kwanza Joseph Kiyenze liyenunua Sola na vifaa vyake ikiwemo TV na kufungiwa nyumbani kwake eneo la Kishiri 'B' kutoka...
View ArticleWASHINDI WA PROMOSHENI YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI WAKABIDHIWA MAGARI YAO.
Meneja Biashara wa Airtel Kanda ya Dar es Salaam, Fredrick Mwakitwange (kulia), akikabidhi funguo za gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 782 DCZ, kwa mmoja wa washindi wa droo ya...
View ArticleWACHIMBAJI WATAKIWA KUPEWA UTARATIBU WA MAOMBI YA LESENI NA MIKOPO FEDHA...
NA PETER FABIAN, MWANZA.WACHIMBAJI wadogo wa Madini waliojiunga katika vikundi na kupata leseni za uchimbaji madini wametakiwa kufika katika Ofisi za Kanda ili kupewa taratibu wa kuomba mikopo ya fedha...
View ArticleBLOGGERS KUKUTANA LEO KATIKA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA...
Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na mmiliki wa Blog ya The Habari.com Joachim Mushi (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na waandishi. Kutoka kushoto ni mjumbe wa TBN Mkala...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA DKT. EDWARD...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya marehemu Esther Gigwa, Mama mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. Edward...
View ArticleJAHAZI MODERN TAARAB NA MASHAUZI CLASSIC JUKWAA MOJA MACHI 22
JAHAZI MODERN TAARAB NA MASHAUZI CLASSIC JUKWAA MOJA MACHI 22 …Usiku wa Baba naMwana Hatimaye makundi mawili yanayoaminika kuwa na mashabiki wengi zaidi katika taarab, Jahazi Modern Taarab na Mashauzi...
View Article