AIRTEL YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA YATOSHA ZAIDI MTWARA MWISHONI MWA WIKI
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mh, Wilman Kapenjama akikabidi funguo ya gari kwa Mshindi wa Promosheni Airtel yatosha Zaidi mkoani Mtwara bw, Sefu Namtapika (60) ambae ni mwalimu mstaafu aliyeibuka na...
View ArticleWAZIRI NAGU ATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO
Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu (Wapili kushoto) akizungumza na baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango alipotembelea na kujitambulisha Tume ya...
View ArticleKAMATI YA AMANI MKOA WA MWANZA YA VIONGOZI WA DINI YAWAALIKA WANANCHI...
Baba Askofu Charles Sekelwa (mwenye miwani) ambae ni Mwenyeki Mwenza wa Kamati, wakati akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusiana na Kongamano la Amani.Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini ya...
View ArticleMAGUGU MAJI YASABABISHA KUKWAMA KWA SAFARI ZA MAJINI ZIWA VICTORIA
Mimea ya magugu maji aina ya matende imetanda katika eneo la Kigongo wilayani Misungwi mkoani Mwanza kiasi cha kutatiza shughuli za usafiri na usafirishaji katika kivuko hicho ambacho ni kiungo muhimu...
View ArticlePICHA ZA SHOW YA YAMOTO BAND USIKU WA VALENTINE BUZURUGA PLAZA MWANZA
Yamoto 'Yamoto kweli ingawa haiunguzi'....Dogo Asley akiongoza mashambulizi ya Yamoto Band katika usiku wa Valentine mwishoni mwa wiki, show iliyopigwa ndani ya ukumbi wa Buzuruga Plaza jijini...
View ArticleMSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA, JERRY SILAA, ATOA MAGARI KWA WASHINDI WA...
MSTAHIKI Meya wa Ilala, Jerry Silaa akisalimia bi Hamim Yoyo toka Korogwe, Tanga ambaye ni mfanyakazi wa saluni na pia ni mmoja kati ya washindi saba wa promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi, kati yake...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAJULIA HALI WANANCHI WALIOANGUKIWA NA NYUMBA ZAO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia), Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA BARABARA YA KM 10 YA MSOGA-MSOLWA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi. Evarist...
View ArticleMWANZA KUKUTANA LIVE NA SAUTI SOL JUMAMOSI HII 21/02/2015 NDANI YA JEMBE BEACH
Hatimaye ule mpango mzima wa kuzifungulia burudani ulioasisiwa na redio mpya ya jijini Mwanza JEMBE FM na kubatizwa jina 'JEMBEKA' unaanza rasmi jumamosi ya wiki hii tarehe 21/02/2015 ndani ya kiota...
View ArticleHAWA NDIYO WAKUU WA WILAYA WAPYA 27 WALIOTEULIWA LEO NA RAIS KIKWETE
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 27*Atengua uteuzi wa Ma-DC 12, awabadilisha vituo 64, awabakiza 42 kwenye vituo vyao vya zamaniRAIS Jakaya Kikwete amefanya...
View ArticleMAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AFUNGUA RASMI MKUTANO WA...
Afisa mtendaji mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute) Prof.Joseph Semboja, (Kulia) akimkaribisha Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh. Balozi Seif Ali Iddi,...
View ArticleAIRTEL YAMKABIDHI MKAZI WA KYELA MBEYA BWANA EDOM MWANSASU GARI LAKE
Kamanda mkuu wa polisi wa Mkoa wa Mbeya Bwana Hemed Msangi (wa pili kulia) akimkabithi mshindi wa gari aina ya Toyota IST bwana Edom Dickson Mwansasu mkazi wa Kyela Mbeya baada ya kuibuka moja kati...
View ArticleMENGI YAIBULIWA LEO KATIKA MAFUNZO YA KUZUIA UKATILI WA KIJINSIA NA...
Mkurugenzi wa Shirika la KIVULINI Yassin Ally akiwasilisha maelezo kuhusu mradi wa mpya ujulikanao kwa kifupi SASA katika semina ya mafunzo ya kuzuia ukatili wa kijinsia na maambukizi ya VVU kwa...
View ArticleAIRTEL YAMTANGAZA BINGWA WA AIRTEL TRACE MUSIC YAMZAWADIA MILIONI 50TZS
Meneja Masoko wa Airtel Aneth Muga (kushoto) akimkabidhi mshindi wa Airtel Trace Music Stars Nalimi Mayunga hundi ya mfano yenye dhamani ya sh. 50mil baada ya kuibuka mshindi wa mashindano ya Airtel...
View ArticlePUSH OBSEVER YAZINDUA TEKNOLLOJIA YA KISASA YA UKUSANYAJI WA TAARIFA...
Mshauri mkuu wa mradi wa NewsRadar, Romana Gersuni kutoka Ujerumani akielezea jinsi teknolojia hiyo mpya na ya kisasa ya ukusanyaji taarifa mbalimbali ya Push Observer inavyofanyakazi zake.mkuu wa...
View ArticleJITIHADA ZA HOSPITALI YA BUGANDO KATIKA KUKABILIANA NA UGONJWA WA SARATANI
Mkuu wa Kitengo cha Saratani Hospitali ya Rufaa Bugando. SIKUya saratani imeadhimishwa mkoani Mwanza kwa uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando kukutanana waandishi wa habari kwa lengo la kuelezea...
View ArticleUSIKOSE USIKU HUU BBC DIRA YA DUNIA NA STAR TV.
Hii leo wale vijana machachari wa Yamoto Band kutoka Afrika Mashariki watakuwa LIVE ndani ya BBC DIRA YA DUNIA. ZAIDI chungulia video ifuatayo hapa chini.
View ArticleRAIS KIKWETE AKABIDHIWA RASMI UENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete(kushoto)akipokea bendera ya Afrika Mashariki(EAC)kutoka kwa Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta ikiwa ni ishara ya kumkabidhi rasmi Uenyekiti wa EAC kwenye mkutano wa kawaida wa...
View ArticleALLIANCE YAFAULISHA WANAFUNZI WOTE KIDATO CHA NNE KWENDA CHA TANO YAWA YA...
NA PETER FABIAN, MWANZA.MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KWENDA CHA TANO KITAIFA NA MKOA WA MWANZA .*Kitaifa sekondari ya wavulana imeshika nafasi ya Pili kati ya sekondari 2,322 na Mkoa imekuwa ya Kwanza...
View ArticleLEO NDANI YA JEMBE BEACH NI KUJEMBEKA TU NA SAUTI SOL.
Ilikuwa Mwezi, siku hatime zimesalia dakika ule mpango mzima wa kuzifungulia burudani ulioasisiwa na redio mpya ya jijini Mwanza JEMBE FM na kubatizwa jina 'JEMBEKA' uanze rasmi. Ni leo JUMAMOSI tarehe...
View Article