LAUNCHING OF "TANZANIA FINANCIAL SERVICES FOR UNDESERVED SETTLEMENTS" ( TAFSUS)
“ Dr. Evans Rweikiza adressing the press during the official launching of Tanzania Financial services for Undeserved Settlements(TAFSUS) at Giraffe Hotel Dar es Salaam." .
View ArticleWAZEE MWANZA WAMUASA MULONGO.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akizungumza na wanachi katika eneo la Lugeye Wilayani Magu.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akizungumza na wanachi katika eneo la Lugeye Wilayani...
View ArticleWASHINDI IVORY COAST WAZAWADIWA NYUMBA NA MAMILIONI KILA MMOJA.
Rais wa Ivory Coast Alassane Quattara (kushoto akipiga makofi) wakati wa mapokezi ya mabingwa wa Africa Ivory Coast, pia anaonekana nahodha wa timu hiyo Yaya Toure. RAIS wa Ivory Coast Alassane...
View ArticleFEBRUARI 20 NDIYO MWISHO WA KUPOKEA FOMU ZA SAFARI WEZESHWA MSIMU WA 4.
SAFARI LAGER WEZESHWA MSIMU WA IV YATANGAZWA MWISHO WA KUJESHA FOMU. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIDar es Salaam, Alhamisi 12 Februari, 2015:Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Safari...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA ANAYEMALIZA MUDA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Saudi Arabia, Hani Abdullah Mominah, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam,...
View ArticleAIRTEL YATANGAZA KUFANYA DROO YA WIKI YA PILI YA PROMOSHENI YA 'Airtel...
Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa kuitambulisha promosheni ya Airtel yatosha zaidi kwa wakazi wa Mkoa wa Dodoma, uliofanyika katika Dodoma...
View ArticlePRODUCER WA MO-MUSIC NA BARAKA DA PRINCE AACHIA NGOMA YAKE MPYA.
MTAYARISHAJI wa muziki na mtunzi wa nyimbo kutoka studio za K-Records za jijini Mwanza Goodluck Gozbert aka 'Lollypop' ambaye ndiye mwandishi wa wimbo wa Mo Music Basi Nenda na ule wa mpya wa Baraka...
View ArticleMABONDIA MCHUMIATUMBO NA IDI BONGE WAPIMA UZITO KUPIGANA FEB 14 P.T.A SABASABA
Bondia Iddi Bonge kushoto akitunishiana misuli na Alphonce mchumiatumbo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam siku ya...
View ArticleBAADA YA OMAN, SKYLIGHT BAND KUNOGESHA VALENTINE’S DAY NDANI YA THAI VILLAGE...
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (wa pili kulia) akiongoza vijana wake kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka...
View ArticleWANANCHI WA MAENEO YA KATA YA IGOMA WAANZA KULIPWA FIDIA KUPISHA UJENZI WA...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Halifa Hida,NA PETER FABIAN GSENGO BLOG MWANZA.HALMASHAURI ya Jiji la Mwanza, litatumia kiasi cha zaidi ya Shilingi milioni 500 kuanza kuwalipa fidia...
View ArticleKITU KIPYA KABISA KUTOKA KWA ISHA MASHAUZI “NIMPE NANI” …NI ZOUK RHUMBA LENYE...
ZAIDI BOFYA PLAY KUSIKILIZA.Wala hakosei kusema ‘kujua kazi ni raha’. Isha Mashauzi anashuka tena kivingine na wimbo mpya kabisa uitwao “Nimpe Nani” unaodhihirisha kuwa anaijua vema kazi yake.Hii ni...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MISA MAALUM YA KUMUOMBEA MAREHEMU EVODIUS...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaliamia na Askofu Eusebius Nzigilwa, wakati wa Misa maalum ya kumuombea Marehemu Evodius Walingozi, iliyofanyika leo...
View ArticleSIMU YASABABISHA AJALI.
WATU arobaini wamejeruhiwa katika ajali mbaya ya basi la abiria lililoacha njia na kupinduka eneo la kijiji cha Bulalu, kata ya Nyanguge wilayani Magu mkoani Mwanza.Taarifa za awali zilizotolewa na...
View ArticleMATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2014-2015
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini,Dk. Charles Msonde akizungumza na wanahabari jijini dar leo.Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiShule za sekondari za binafsi zaongoza 10 bora matokeo ya...
View ArticleTOTO YAUNGANA NA MWADUI KUPANDA LIGI KUU SOKA TANZANIA BARA
Toto Africans yapanda ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 2015 baada ya kuifunga Rhino Rangers ya Tabora bao 2-0. Mchezo uliohezwa katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.HATIMAYE Wanakishamapanda...
View ArticleKILA KUKICHA MAJANGA YA MOTO: SAFARI HII ZAMU YA EXTERNAL DAR
WINGU jeusi limeendelea kutanda baada ya moto mkubwa kuendelea kuwaka mitaa ya External karibu na kanisa la Mzee waupako.Ili kupunguza msongamano polisi wamelazimika kutumia baruti kutawanya watu na...
View ArticleWAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA KUFUNGUA MKUTANO WA KIKANDA JUU YA UKUAJI NA...
TAASISI YA UONGOZI WA AFRIKA KWA MAENNDELEO ENDELEVU TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA KUFUNGUA MKUTANO WA KIKANDA JUU YA UKUAJI NA MAISHA YA BAADAE YA MIJI YA AFRIKA...
View Article