Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMINI, BARNABA BOY KUUPAMBA USIKU WA VALENTINE'S DAY BUKOBA 14.02.2015

BOFYA PLAY KUSIKILIZA MPANGO UTAKAVYOKUWA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATEJA WA AIRTEL KUSHINDA GARI MOJA KILA SIKU.

Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Levi Nyakundi (kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Beatrice Singano Mallya (kulia) wakionyesha kipeperushi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIC YAKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA NCHINI UJERUMANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC),Juliet Kairuki (wa pili kushoto) akizungumza katika mkutano maalum kati ya Uongozi wa TIC na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA I&M YAZINDUA HUDUMA YA KWANZA YA MFUMO WA KIELEKTRONIKI YA MASAA 25...

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Anurag Doreha  (kushoto) akiongea na wadau wa benki hiyo hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa tawi  na mfumo mpya wa kielektroniki uliovumbuliwa na Smart Banking...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHANDISI WAKUTANA KUJADILI MAFANIKIO, UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MEENDELEO NCHINI

RAIS wa Association of Local Government Engineers Tanzania (ALGETA) nchini, Mhandisi Ezekiel Kunyaranyara (Katikati) akizungumza leo na waandishi wa Habari (hapapo pichani), kuhusu kufanyika mkutano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE YA TAIWAN YAANGUKIA MTONI

Ndege inayoimilikiwa na Shirika la Ndege la Taiwan, la TransAsia imepata ajali na kuangukia kwenye mto katika mji mkuu, Taipei.Vyombo vya habari vya Taiwan vimesema watu zaidi ya 50 walikuwa ndani ya...

View Article

“WAKATI WA KUIBUKA NA USHINDI MNONO KAMPENI YA ‘TUTOKE NA SERENGETI’ NDIO HUU"

“YOUR CHANCE TO WIN BIG IN TUTOKE NA SERENGETI IS NOW”….SAYS SBLDar es Salaam, Tanzania: 04thFebruary, 2015. Tanzania’s second largest brewing company has revealed that the ongoing Tutoke na Serengeti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHANDISI WA SEIKALI ZA MITAA KIJITAFAKALI ILI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA...

 NA PETER FABIAN, MWANZA.WAHANDISI walioko katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa, wametakiwa kujitafakari kwa kina ili kutekeleza majukumu yao yatakayosaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa jamii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA NGUVU JIJI DAR, NI IJUMAA HII TENA

Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar es Salaam Ijumaa iliyopita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI NCHINI LASHIRIKI KUZINDUA MAGARI MAPYA YA KAMPUNI YA ULINZI...

 Mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Kamishina wa Polisi Mussa Ally Mussa akiwa na mkuu wa jeshi la polisi mstaafu Philimon Mgaya akikata utepe wa kuashiria kuzindua magari mapya Zaidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA VUNJO WAMTAKIA HAPPY BETHDAY KAMANDA WAO INNOCENT

Naibu kamanda wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi wilaya ya moshi vijijini ambae pia anatajwa kutakiwa kuwania ubunge jimbo la vunjo Innocent Melleck shirima leo 06/02/2015 ni siku yake ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YAKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE NDANI YA NYAMA CHOMA FESTIVAL

Kikosi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Band, Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake ndani ya viwanja vya Leaders Club kwenye tamasha la Nyama Choma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUSHWA ADUI WA KILA SEKTA.

Mhandisi wa Ofisi ya Katibu Tawala (RAS) Mkoa wa Iringa,David Michae, akila kiapo cha Uhandisi mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, Suniva Mwanjombe, wakati wa mkutano mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"WAKAZI WA MWANZA CHANGAMKIENI MAGARI YA AIRTEL" KUONYESHWA KESHO (JUMANNE)...

VUTA SUBRA STORI, MAELEZO NA SAUTI KUWAJIA PUNDE.....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAIPONGEA BENKI YA ACCESS KUFUNGUA TAWI LAKE JIJINI MBEYA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Abbas Kandoro akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Access wakati alipokuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa tawi la benki hiyo jijini Mbeya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULAWITI; KIONGOZI WA MALAYSIA MIAKA 5 JELA

CHANZO BBC SWAHILI.Mahakama ya juu zaidi nchini Malaysia imekataa kubadilisha uamuzi kuhusu kesi ya kulawiti inayomkabili kiongozi wa upinzani Anwar Ibrahim.Baadhi ya wanasiasa wa Malysia, watetezi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBOWE: HATUTAIBIWA KURA UCHAGUZI HUU.

Freemon Mbowe.Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kimejipanga kuhakikisha katika uchaguzi Mkuu hawaibiwi kura. Kauli hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freemon Mbowe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DRAW YA 8 MSHINDI WA LIMO BAJAJ YA 6

Meneja wa Bia chapa Serengeti Primium Lager,  Rugambo Rodney, (kushoto) akiongea kwa njia ya simu na mshindi wa sita wa Limo Bajaji, Ramadhani Abubakar, katika shindano la Tutoke na Serengeti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHINDI ZAIDI AIRTEL YATOSHA WAKABIDHIWA MAGARI

Mkurugenzi wa masoko wa Airtel bw. Levi Nyakundi (kushoto) akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa promosheni ya Yatosha Zaidi bi. Mwajabu Omary leo katika makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA MZEE JESTUS BULUGU MAPESA YAFANYIKA MAGU JIJINI MWANZA

Wachungaji na wakuu wa kanisa la AICT wakifanya ibada kuuombea mwili wa Marehemu Jestus Bulugu Mapesa, iliyofanyika jana katika kijiji cha Kinango wilayani Magu mkoani Mwanza.Sehemu ya ndugu, watu wa...

View Article
Browsing all 12415 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>