Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA MKOA WA NJOMBE NI MFANO WA KUIGWA KATIKA ZOEZI LA BVR

Kazi ya kuandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kupitia mfumo wa Biometrick Voters Registration (BVR), ambao huhusisha uchukuaji wa alama za vidole na picha, jana iliingia siku ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC PWANI AWACHARUKIA MA DC AWATAKA KUIMARISHA ULINZI KWA WATU WENYE ULEMAVU...

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo.VICTOR MASANGU, PWANI MKUU  wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo amewaagiza wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanalivalia njuga suala la mauaji ya kikatili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI AIRTEL WACHANGIA KUBORESHA MAZINGIRA YA SHULE YA MSINGI USHINDI

Wafanyakazi wa Airtel Tanzania, Kitengo cha Biashara za Mashirika, wakishiriki kupaka rangi darasa la Chekechea linalokarabatiwa kwa hisani ya Wafanyakazi wa Airtel kama sehemu ya huduma kwa jamii,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI ZAIDI YA 450 WILAYA YA KIBAHA KWA SASA WANASOMA CHINI YA MITI...

Na Victor Masangu, Pwani WANAFUNZI wa shule ya msingi ya mailimoja iliyopo Wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani kwa sasa baadhi yao wamelazimika kusomea chini ya miti kutokana na madarasa ambayo walikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHITUKO: KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA

Mara zote aliimba kwa hisia.... enzi za uhai wake Kapteni John Komba.Habari zilizotufikia muda mchache uliopita, zinasema kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa TOT na Mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM) Kapteni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAMNA YANGA ILIVYOING'OA BDF XI MICHUANO YA SHIRIKISHO

Na. Richard Bakana, Dar es salaamWawakirishi wa Tanzania bara katika michuano ya Kombe la Shirikishi barani Afrika, Dar es salaam Young Africans  wamefanikiwa kusonga mbele licha ya kuambulia kipigo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ILIVYOKUWA PARTY BIRTHDAY YA MTANGAZAJI WA METRO FM MWANZA

Ze ugali wa kidhungu....February 26 Miaka kadhaa iliyopita Mtoto George Binagi-GB Pazzo alizaliwa. Karibu uweze kutazama picha za BIRTH DAY PARTY yake iliyofanyika juzi Lake Hotel Jijini Mwanza kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUPER KAMANYOLA @VILLA PARK MWANZA NI BALAA.

Rais wa bendi ya Super Kamanyola Shushu Di. Cando akiimba ndani ya usiku wa Burudani katika kiota cha maraha Villa Park Mwanza.Rapa machachali 'Defender'Two Brothers Rashid Mwezingo (kulia) na mwimbaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEAM MICHUZI PRODUCTION YAREKODI KWA WELEDI WA HALI YA JUU MNUSO WA TANZANIA...

Ankal akiwa na MD wa Michuzi Media Group (kulia kwake) pamoja na kikosi kazi cha Team Michuzi Production chini ya Production Manager Barbra Kilugira (wa tatu kushoto) ambayo ilipata heshima ya kurekodi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA AKAGUA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI MWAKE

Mkuu wa Mkoa wa Kinondoni, Paul Makonda akisaini kitabu cha wageni katika shule ya sekondari Turian iliyopo katika wilaya ya Kinondoni wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya Maabara katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA YATIKISA TENA MWANZA: MASWALI YATANDA MAUAJI YA ALBINO.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA KAPTENI JOHN KOMBA KUAGWA KESHO JIJINI DAR.

TANZIA- TAARIFA ZAIDI / RATIBARatiba ya kusafirisha mwili wa marehemu Mhe. Capt. John Komba itakuwa kama ifuatavyo:Kesho tarehe 02/3/2015 saa 1 asubuhi misa Parokia ya Mt. Bikira Maria Mpalizwa iliopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO NI SIKU YA KUZALIWA YA MDAU OTHMAN MICHUZI

Napenda Kuchukua Fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na Mwenye Kurehemu kwa kunijaalia Uhai na afya njema hadi kufikia siku hii ya leo,ambapo ninayo furaha kubwa sana kwa kuongeza namba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA JAPAN ALIYEMALIZA MUDA WAKE WA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAZI WA KONDOA AKABIDHIWA TOYOTA IST NA WASHINDI SABA WA AIRTEL YATOSHA...

 Meneja wa Airtel Kanda ya Kati bwana Stephen Akyoo (kushoto) akimkabithi mshindi wa gari aina ya Toyota IST bwana Saidi Juma Alli (Kulia) mkazi wa kondoa baada ya kuibuka mmoja kati ya washindi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAPTENI KOMBA AAGWA LEO JIJINI DAR KUZIKWA KESHO.

RAISJakaya Kikwete leo amewaoongoza mamia ya waombolezaji waliofika Viwanja vya Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kuuaga mwili wa mbunge wa Mbinga magharibi Kapt John Komba aliyefariki Jumamosi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA KUKUTANA NA WANANCHI WA KINONDONI WENYE MIGOGORO YA ARDHI KILA IJUMAA

*AUNDA KAMATI YA KUSHUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA ARDHI KINONDONINa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa wilaya ya Kinondoni inakabiliwa na changamoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI NYAMA CHOMA MWANZA 2015.

SAFARI LAGER YATANGAZA  BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI  NYAMA CHOMA  MWANZA 2015.Dar es Salaam, Jumanne3 Machi2015: Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo imetangaza bar tano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAUAJI YA ALBINO NI AIBU KWA TANZANIA

Raisi wa Tanzania Jakaya Kikwete ameahidi kumaliza kabisa wimbi la mauaji ya Albino,na kusema kuwa waganga wa jadi wanahusishwa na mauaji hayo na kulitia aibu kubwa taifa lake lililoko Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI WA LIGI NGAZI ZA JUU NI MARUFUKU LIGI WILAYA YA BUSEGA

Buluba Mabelele (kushoto) ambaye ni mdhamini wa Ligi ya Wilaya ya Busega maarufu kwa jina la Buluba Super Cup, akikabidhi mipira kwa Chama cha soka wilaya BUFA. NA ALBERT G. SENGO: BUSEGA MKOANI...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>