Quantcast
Channel: g sengo
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUVI KUTOKA KISIWA CHA YOZU WILAYANI SENGEREMA AIBUKA NA TOYOTA IST

Mvuvi katika kisiwa cha Yozu wilaya ya Sengerema Aibuka na Toyota ISTMkazi wa wilaya ya sengerma na mvuvi katika kisiwa cha Yozu bwana Kijiji Gweso Jana amekabithiwa gari aina ya Toyota IST na kampuni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITWANGA ATAMBIA SERIKALI KUDHIBITI WATUMISHI "MCHWA" WALIOFIKISHWA...

Kamanda wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Charles Kitwanga "Mawe matatu" akihutubia wananchi na vijana wa UVCCM zaidi ya 400 baada ya kusimikwa kwenye sherehe  hivi karibuni Mjini Misungwi.NA PETER FABIAN,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGOGO ANASWA NA KUSHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA NOTI...

NA PETER FABIAN. MWANZA.KIGOGO na mwanachama wa Chama kimoja cha siasa mkoani Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi  hapa, akihusishwa na uhalifu wa utengenezaji noti bandia,utekaji na mauaji ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAFA MAKUBWA MKOANI SHINYANGA, WATU 35 WAFARIKI DUNIA KUFUATIA MVUA KUBWA...

Habari kutoka mkoani Shinyanga zinasema kuwa, zaidi ya watu 35 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 55 wamejeruhiwa baada ya nyumba zao kuwaangukia na kuwafunika usiku wa kuamkia leo kutokana na mvua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYAMA CHOMA MWANZA NI JUMAMOSI HII

SAFARI LAGER YATANGAZA  BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI  NYAMA CHOMA  MWANZA 2015.Dar es Salaam, Jumanne3 Machi2015: Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo imetangaza bar tano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH. LOWASSA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose aliyefika ofisini kwake leo kwa mazungumzo.Mwenyekiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA KUSIMIKWA KAMANDA MPYA WA UVCCM MKOA WA MWANZA< CHARLES KITWANGA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEN PAUL AJA NA DARASA LAKE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALBINO WAZUSHA VURUGU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania wakiwasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2015 kuonana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyewakaribisha ili kuwasikiliaza matatizo yao na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUPIGA JALAMBA, NI KILA IJUMAA NDANI YA KIOTA CHA...

Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ukumbi wa maraha Thai Village Masaki jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SADIFA VIPAJI VYA WASANII WA SARAKASI VIMULIKWE NA TAASISI ZA MAJESHI NA...

Kijana Hamis Juma (20), mkazi wa kijiji cha Songiwe Kata ya Misasi wilayani Misungwi mkoani Mwanza ambaye ni msanii wa mchezo wa sarakasi, akionyesha umahili wake wa kipaji cha kutembea juu ya kamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAKIJIJI CHA OLOLOSOKWAN WAIPA AIRTEL HEKO/SHUKRANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kushoto), akizungumza na viongozi wa Kata ya Ololosokwan, wilaya ya Ngorongoro (kutoka kulia), Diwani wa kata hiyo, Yannick Ndoinyo, Mwenyekiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMELEONE AJA NA ONLY YOU AKIMSHIRIKISHA PATO RANKING

Baada ya kuliteka na kulikamata vyema soko la muziki wa jana na hata leo, Mwanamuziki mwenye mafanikio kutoka nchini Uganda Jose Chameleone ameachia hewani mkwaju wake mpya na safari hii akivuka mipaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZINDUA STUDIO MPYA ZA AZAM TV JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa Studio mpya za Azam Tv zilizoko Tabata jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA JAPAN YAIPATIA MSAADA WA DOLA LAKI 1.4 HALMASHAURI YA WILAYA YA...

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongozana na mwenyeji wake ambaye ni Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga wakati alipowasili nyumbani kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIPINDI CHA MASKANI YA TIMES FM WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUTOA MSAADA...

Mkurugenzi Mtendaji wa Times Radio Fm, Mr. Rehure Nyaulawa (kushoto) akimkabidhi msaada wa mashuka Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk, Sophinias Ngonyani (kulia) mara baada ya Timu nzima ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA:'CHINJA CHINJA' ALIKUWA MLEVI

Emwazi.Mohammed Emwazi ,mtu ambaye alibadilika na kuwa ''chinja chinja'' wa kundi la islamic state kwa jina 'jihad John' Mohammed Emwazi, alifurushwa kutoka nchini Tanzania kwa kuwa mlevi na mtu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO MWINGINE AKATWA KIGANJA CHA MKONO HUKO SUMBAWANGA, MAMA YAKE AJERUHIWA...

Mtoto Mlemavu wa ngozi Albino Baraka Cosmas Lusambo,mwenye Umri wa miaka sita Mkazi wa kijiji cha Ikonde kata ya Kipeta Sumbawanga vijijini Mkoani Rukwa,amekatwa kiganja chake cha mkono wake wa kulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA HARAKATI ZA "IMETOSHA!" HENRY MDIMU APELEKA UJUMBE WAKE UWANJA WA...

Na Henry MdimuTangu asubuhi leo nilikuwa busy na awareness za uwanja wa Taifa katika mechi ya watani wa Jadi Yanga na Simba (picha ya pili). Ila jioni hii nilipoangalia simu yangu nikakuta watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA SIMU LA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Shirika la Simu Vitnam (VIETTEL) Hoang Son, wakati Makamu huyo alipofika Ofisini kwake...

View Article
Browsing all 12422 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>