Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12428

MTOTO MWINGINE AKATWA KIGANJA CHA MKONO HUKO SUMBAWANGA, MAMA YAKE AJERUHIWA VIBAYA

$
0
0
Mtoto Mlemavu wa ngozi Albino Baraka Cosmas Lusambo,mwenye Umri wa miaka sita Mkazi wa kijiji cha Ikonde kata ya Kipeta Sumbawanga vijijini Mkoani Rukwa,amekatwa kiganja chake cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana,Lakini baba Mzazi Cosmas Lusambo anashikiliwa na Polisi.Mtoto ameletwa Rufaa Mbeya jioni Ya jana.(Picha kwa hisani ya Henry Mdimu Balozi wa kijitolea wa kampeni ya ‘Imetosha’).
 
INASIKITISHA 
Mtoto Baraka Cosmas Rusambo mwenye umri wa miaka sita mwenye ulemavu wa ngozi (Albinism), amekatwa mkono wa kulia katika tukio lilitokea Jumamosi usiku tarehe7 Machi kwenye kijiji cha Kiseta, Kata ya Kiseta, Tarafa ya Kiseta wilayani Sumbawanga  vijijini, mkoani Rukwa.

Baraka amepelekwa hospitali huku mama yake mzazi Bi. Prisca Shabaan amejeruhiwa vibaya wakati akijaribu kumlinda mwanae.

Jeshi la polisi linawashikilia watu wa wawili  huku upelelezi ukiendelea.


Kwa taarifa zaidi za kina zitaendelea kuwajia kupitia mtandao huu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>