Quantcast
Channel: g sengo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

TASWIRA FLANI ADIMU KANDA YA ZIWA

$
0
0
Selfie na jengo ambalo siyo kanisa, sijajua ila nasikia ni nyumba ya mtu, bahati mbaya sikufanikiwa kuonana na mmiliki wake baada ya kumsubiri sana na muda wangu ukawa umeisha. Lakinisiku moja utajua zaidi kuhusu jengo hili.
Tumezoea kuona majengo kama haya yakiwa na majina ya Kanji Bah, Karimjee na mengine mengi ya watu wa bara la Asia na Uropa lakini mkoani Kagera hatariiiii, soma bango hapo juu 'Tarehe 21 March 1962, Patrick Kalinjuna
Duka Bahaya Munyerege' na hapa ni Bukoba vijijini. ''''Dadadeki'
Muonekano kamili.
Mlima wa ndizi.
Mh. Malecela...saluti kwako.
Soko la Kirumba Mwaloni jijini Mwanza.
Kando kando ya ziwa Victoria jijini Mwanza


Viewing all articles
Browse latest Browse all 12422

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>