HuaweiUnveils “Huawei Watch” at The Mobile World Congress 2015
Powered by Android Wear™, the Huawei WatchFeatures a Fully Circular Timeless DesignBarcelona, Spain,March 1, 2015: Huawei continues to break new ground in the wearables space byunveiling today the...
View ArticleWAGANGA 55 WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MWANZA
MWANZAJESHI la polisi Mkoani hapa limewashikilia waganga wa jadi 55 wanaodaiwa kupiga ramli chonganishi katika msako unaoendelea katika wilaya zote za Mkoa huu.Waganga hao wa jadi wamekamatwa kutokana...
View ArticleMABOMU YARINDIMA SAA HII MWANZA INSHU NI ILE ILE POLISI NA MACHINGA
Vurugu zimezuka mida hii ya saa 5 asubuhi zikihusisha polisi na machinga wa mkoa wa Mwanza suala ni lile lile, polisi wakijaribu kuwaondoa wafanyabiashara wadogo wanaojishikiza katika maeneo...
View ArticleIT'S FRIDAY AND ITS ON #TGIF, SKYLIGHT BAND KUKINUKISHA THAI VILLAGE...
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akishusha mistari huku waimbaji wenzake Sony Masamba (katikati) na Sam Mapenzi wakisebeneka Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI SHARM EL SHEIKH KUHUDHURIA MKUTANO WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Misri, Ebrahim Mehlep, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Sharm El- Sheikh, kwa...
View ArticleMKAZI WA KOROGWE, TANGA AIBUKA MSHINDI WA MTOKO WA MBUGANI KWENYE FAINALI YA...
Meneja chapa wa bia ya Serengeti Premium, Bw.Rugambo Rodney, wa pili kulia, akionyesha namba ya simu ya mshindi wa mwisho wa shindano la Tutoke na Serengeti, ambapo Bw. Robert Gabriel mkazi wa Korogwe,...
View ArticlePPF MKOA WA MWANZA YATOA MSAADA WA MIFUKO 100 NA MABATI 100
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete akisalimiana na meneja wa PPF Kanda ya Ziwa Mesharck Bandawe pindi alipowasili jana Kahma mkoani Shinyanga kutoa pole kwa waathirika wa mvua...
View ArticleKOCHA SYLVESTER MASH AFARIKI DUNIA
Enzi za uhai wake Marehemu Syvester Mash (kushoto) akipewa maelekezo toka kwa aliyekuwa kocha wa timu ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KIUCHUMI NA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika mkutano wa Kiuchumi na maendeleo wa Misri, uliofunguliwa jana Machi 13, 2015 na Rais wa Misri,...
View ArticleMWILI WA SYLVESTER MARSH WAWASILI JIONI HII JIJINI MWANZA KUZIKWA KESHO ALASILI
Badrudian Nsubuga aliyeteuliwa kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi (kushoto akiweka mipango mezani mbele ya wanakamati wenzake Jumanne Shengelo ambaye ni Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa...
View ArticleBALOZI MWAPACHU AWA MWENYEKITI BODI YA WAKURUGENZI AIRTEL TANZANIA
KAMPUNI tanzu ya Bharti Airtel inayoongoza katika utoaji wa huduma za simu za mkononi ikifanyakazi katika nchi 20 Asia na Afrika, leo imemteua Balozi Juma Volter Mwapachu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
View ArticleHAWA HAPA WASHINDI WA SAFARI NYAMA CHOMA ARUSHA
Mashabiki wa Bar ya Milestone Park ya jijini Arusha wakiwa wamembeba juu mchoma nyama wa bar hiyo mara baada ya kutangazwa bingwa katika mashindano ya Safari Lager Nyama Choma mkoani humo yaliyofanyika...
View ArticleUBA NA DHAMIRA YAO YA KULINDA AFYA ZA WAFANYAKAZI.
Wafanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), wakishindana kuvuta kamba wakati wa mazoezi waliofanya jijini Dar es Salaam jana kutokana na utaratibu waliojiwekea kwa kila baada ya miezi mitatu...
View ArticleTASWIRA FLANI ADIMU KANDA YA ZIWA
Selfie na jengo ambalo siyo kanisa, sijajua ila nasikia ni nyumba ya mtu, bahati mbaya sikufanikiwa kuonana na mmiliki wake baada ya kumsubiri sana na muda wangu ukawa umeisha. Lakinisiku moja utajua...
View ArticleRC MWANZA AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA MARSH
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, leo ameongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Mwanza na mikoa jirani ya Kanda ya Ziwa kumuuaga mwili wa marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’,yaliyofanyika...
View ArticleCHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA...
Prof. Bakari Lembaliti ambaye ni Mwalimu wa Chuo Kikuu Muhas Muhimbili akiwapatia miswaki na Dawa watoto wenye ulemavu wa macho baada ya kuwapa elimu ya matumizi ya usafi wa kinywa na meno inayo...
View ArticleAIRTEL YAKABIDHI WAKAZI WA MKOA WA MANYARA MAGARI AINAYA TOYOTA IST
Staff Sargent wa wilaya ya hanang Janet Mungolya akimkabithi funguo mshindi wa gari aina ya Toyota IST Bi Emiliana Tarmo HHaway mara baada kuibuka mshindi wa droo ya wiki ya tano ya promosheni ya...
View ArticleTUHAKIKISHE USHINDI UNARUDI NYUMBANI
Tuhakikishe ushindi unarudi nyumbani!!! Mpigie kura Mayunga Tuma SMS yenye neno YUN kwenda 15594 au Piga 0901002233 kisha chagua 1 #TeamMayunga #AirtelTRACEStar
View ArticleTANZANIA YAPITISHA MUSWADA WA AJIRA
CHANZO:BBC SWAHILI. Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa sheria ya udhibiti wa ajira za wageni wa mwaka 2014 ,ambapo pamoja na mambo mengine unaainisha vipengele muhimu vya ajira kwa wageni na...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI BURUNDI KULIHUTUBIA BUNGE LA EAC
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Maua kutoka kwa watoto waliokuja kumlaki katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Bujumbura ambapo alianza ziara ya kikazi ya siku mbili.Rais wa Jamhuri ya...
View Article