![]() |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa katika picha ya pamoja yam zee Thomas Wambura Kyangombe (miaka 99) na mtoto mdogo kuliko wote walioshiriki matembezi hayo. Picha na OMR |
↧
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA LA KIGANGO CHA MT. DOMINIC SAVIO TEMEKE MIKOROSHINI, DAR ES SALAAM.
↧