Dada zake marehemu Victoria Kahabuka wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wao. |
Clement Kahabuka akiongoza wadogo zake kuweka shada kwenye kaburi la dada yao. |
Victoria kahabuka amezikwa leo eneo la makaburi ya Nyakato jijini Mwanza. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. |