REDDS MISS LAKE ZONE 2013 WATEMBELEA OFISI ZA JIJI LA MWANZA, MEYA AWAPA...
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akiwa na waandaaji wa Miss Lake Zone 2013 kuanzia kulia ni Clara wa Clara Salon & Boutique na Mr. Kimu na kushoto ni afisa habari wa ofisi ya jiji...
View ArticleMAZISHI YA DADA YAKE MWANAKANDANDA WA ZAMANI CLEMENT KAHABUKA MAREHEMU...
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula (wa pili kutoka kulia) akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Victoria Kahabuka aliyefariki hivi majuzi na kuzikwa leo eneo la makaburi ya...
View ArticleMBASPO WATAWAZWA MABINGWA AIRTEL RISING STAR MBEYA
Mshambuliaji wa Msimamo Youth Educator’s,Saimon Kizito (kulia) akipiga mpira huku beki wa Buguruni Youth Center,Mzee Bazil akijaribu kumzuiya katika mashindano ya vijana U-17 ya Airtel Rising Stars...
View ArticleGAPCO TANZANIA LTD YAENDEREA NA PROMOSHENI YA GAPCO RELSTAR OIL
Wasanii wa JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo laMwananyamala Dar es salaam kutoka kushoto ni Omar Salimu Halima...
View ArticleMRADI WA TIBU HOMA WAZINDULIWA LEO JIJINI MWANZA
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akimjulia hali mmoja kati ya watoto walio hudhuria uzinduzi wa Maadhimisho ya Tibu Homa yaliyofanyika katika eneo la Kata ya Igoma jijini Mwanza hii...
View ArticleGAPCO TANZANIA YAINGIA MKOA WA TANGA KUFANYA PROMOSHENI YAKE YA GAPCO RELSTAR
Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco T LTD Bw. Atanas Jumbe kulia akimkabizi zawadi kwa Mwakilisha wa Ofisa utamaduni wa Mkoa wa Tanga Bi,Tima Koja wakati wa promosheni ya Gapco Relstar inayoendelea katika...
View ArticleLEO NDIYO LEO KWA TIMU YA MAJI MAJI - SONGEA
Timu ya Maji Maji songea leo inaingia katika kinyang'anyilo cha uchaguzi wa viongozi huyo hapo ni Humphery Millanzi mgombea nafasi ya mwekiti katika timu ya Maji Maji akimwaga sela zake jana katika...
View ArticleHAIJAWAHI KUTOKEA KAMA HII YA TIGO NKABAaaaaa JIJINI MWANZA - SHOW YASITISHWA...
Diamond The Platnum akikisanukisha ndani ya show ya kubwa iliyopata mashabiki ambao idadi yao haijawahi kutokea ya Tigo Nkabaa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza na kupata shangwe za kutosha. We...
View ArticleWAKATI OBAMA AKITARAJIWA KUTINGA DAR HII LEO, MWANANCHI MWANZA AANDAMANA.
Karibu, karibuKaribu rafiki mkuuKaribu rafiki wa amaniKaribu rafiki mkuu wa IslaelKaribu MuungwanaKaribu Rais Barack ObamaMimi Rafiki wa Israel na USA.
View ArticleHUYU NDIYE REDDS MISS LAKE ZONE 2013
Miss Lake Zone 2013.Safu ya kinyang'anyiro."....mwishoni mwenyewe inakudedisha...puuuh..!!! Ommy DimpozOmmy Dimpoz na shabiki wake.Wametokelezea...Meza kuu ikiongozwa na Nabu waziri wa Mawasiliano...
View ArticleWANAUME KULALA BAADA YA TENDO, WANASAYANSI WAGUNDUA SIYO HIYARI YAO.
Source JFJambo hili huwaacha wanawake wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali chungu mzima kama kuna mahali wamekosea au hawajawavutia wapenzi wao, pale wenzi wao wanapogeukia upande wa pili na...
View ArticleHITIMISHO LA MAADHIMISHO YA SERIKALI ZA MITAA MKOANI MOROGORO
Meza kuu ikiongozwa na Naibu waziri wa serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Kasim Majaliwa ikikabidhi tuzo ya Mazingira kwa Halmashauri ya jiji la Mwanza Naibu waziri wa serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe....
View Article